Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Serikali ya Tanzania chini ya mama inawajali Watanzania ndio maana hakuna mlolongo wa makodi na matozo kama ya huko Kenya ambayo yanakomoa Nchi Yao.Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa.
Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe.
Sisi tuko bize na jamaa anayesema baada Mtumie Muhammad (SAW) na Yesu Kristo anayefuatia na Rais Samia Suluhu Hassan.
Mara mambo ya Mwijaku na Masoud Kipanya.Nani aliyetuloga!!??
Hakuna shida. Umefurahi Sasa...??πππMwisho wewe umeona Kuna shida gani kwenye Bajeti yetu...
Ushuru wa mkate umeondolewa. Ushuru huu ungepandisha bei ya Mkate.
Naomba unikumbushe juu ya kauli ya raisi wa kwanza wa Kenya aliyosema ,alipokuwa anatulinganisha Watanzania,Wakenya na Waganda,halafu nitasema jambo.
Yeyote yule anaweza kuwa mtawala wetu...Kuwatawala Watanzania ni Raha sana.
Hapa bongo kiongozi no. 1 anayetakiwa kusikiliza hoja za wananchi anajitokeza hadharani kusema ameziba masikio. Kwani tutamfanya nini? Kama ni kura tutapiga lakini haki ya kuchagua hatuna.Muda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa.
Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe.
Sisi tuko bize na jamaa anayesema baada Mtumie Muhammad (SAW) na Yesu Kristo anayefuatia na Rais Samia Suluhu Hassan.
Mara mambo ya Mwijaku na Masoud Kipanya.Nani aliyetuloga!!??
ππππKwani tumeshamalizana na mwanaume msikitini akiswali sehemu ya wanawake?
Daaa! Na kweli tumerogwa bana . Wakenya hongereni sisi tuna safari ndefuMuda huu William Ruto Rais wa Kenya amewaongoza wabunge wa Muungano wa Kenya Kwanza, kukubaliana na mambo mengi yaliyokuwa kwenye Bajeti ya nchi hiyo ambayo yalikuwa yanapingwa na Wakenya kuondolewa.
Baada ya mbinyo toka Kwa Wakenya Kwa zaidi ya wiki Moja hatimaye serikali imekubali yaishe.
Sisi tuko bize na jamaa anayesema baada Mtumie Muhammad (SAW) na Yesu Kristo anayefuatia ni Rais Samia Suluhu Hassan.
Mara mambo ya Mwijaku na Masoud Kipanya.Nani aliyetuloga!!??
Safari yetu ni ndefu Sana na ngumu kupindukia.Daaa! Na kweli tumerogwa bana . Wakenya hongereni sisi tuna safari ndefu