Serikali ya Kenya ipo katika Hatua ya mwisho wa kuukubali ushoga

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Kwa Mara ya kwanza Leo Kenya imeadhimisha siku ya watu wa jinsi mbili (yaani mtu Mwenye uume na uke kwa wakati mmoja), jambo ambalo Ni la kwanza kwa Afrika mashariki.

Nchi hiyo Pia imekuwa ikisitasita kutangaza rasmi kuutambua ushoga Kama haki baada ya harakati nyingi kushika Kasi Hadi ngazi ya Mahakama Kuuu.

Ninaamini kuwa haitiki 2025 bila Kenya kupitisha ushoga Kama haki.
 
Acha uongo wa kiwango cha lami wewe.
Zakayo hawezi kubali hiyo ujinga wewe!!

Back
Top Bottom