Serikali ya Kenya:Kama mko Serious Kumkamata Aliyemwapisha Raila, Pia Kamateni..............

Serikali ya Kenya:Kama mko Serious Kumkamata Aliyemwapisha Raila, Pia Kamateni..............

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Kwa maoni yangu kuapishwa kwa Raila Odinga ni mzaha na comedy ya kisiasa kuwafurahisha wafuasi wa NASA na wakenya wapendao comedy. Kuapishwa kwake si uhaini/jinai ya aina yoyote kwa sababu haina nguvu ya sheria/katiba. Nia ilikuwa ni kujifurahisha tu na kuvent off. Thats all.
Kama serikali iliona kuna hatari kwenye uapishwaji huu, basi serikali pia iwachukulie hatua wafanyabiashara wote nchini kenya wanaouza toy guns and pistols kwa sababu guns and pistols are dangerous weapons!
Lets reason reasonably.
 
Kijana, tulia Kenya ni yetu sisi wakenya. Usiwe na presha, rais wetu Uhuru Muigai Kenyatta yupo usukani hadi 2022. Ole wake huyo mchawi RAO iwapo makamu wa rais, William Kipchirchir Samoei Arap Ruto atafaulu kupigiwa pass, uchaguzi wenyewe ukishafika!
 
Kaapishwa Uhuru Kenyatta kwa nguvu ya katiba na sheria, na mamlaka yote anayo. Mnaogopeshwa nini na toy ya kuapishwa Raila? Raila ana nguvu gani ya katiba na sheria?Au ndo keshapata robo mkate kwa kuapishwa? Yaani mnavyonishangaza kwa kuona jani na kufikiri ni chatu!
 
he weakens a weak point while heading to the hard target
a matter of time.
 
Kaapishwa Uhuru Kenyatta kwa nguvu ya katiba na sheria, na mamlaka yote anayo. Mnaogopeshwa nini na toy ya kuapishwa Raila? Raila ana nguvu gani ya katiba na sheria?Au ndo keshapata robo mkate kwa kuapishwa? Yaani mnavyonishangaza kwa kuona jani na kufikiri ni chatu!
Tulijifunza mengi baada ya makosa tulioyafanya 2007/08 mkuu. Hatutaja yarudia tena. Kenya ni yetu sisi sote. Tuache tubaki tulivyo tu.
 
Back
Top Bottom