SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Kwa maoni yangu kuapishwa kwa Raila Odinga ni mzaha na comedy ya kisiasa kuwafurahisha wafuasi wa NASA na wakenya wapendao comedy. Kuapishwa kwake si uhaini/jinai ya aina yoyote kwa sababu haina nguvu ya sheria/katiba. Nia ilikuwa ni kujifurahisha tu na kuvent off. Thats all.
Kama serikali iliona kuna hatari kwenye uapishwaji huu, basi serikali pia iwachukulie hatua wafanyabiashara wote nchini kenya wanaouza toy guns and pistols kwa sababu guns and pistols are dangerous weapons!
Lets reason reasonably.