Kaapishwa Uhuru Kenyatta kwa nguvu ya katiba na sheria, na mamlaka yote anayo. Mnaogopeshwa nini na toy ya kuapishwa Raila? Raila ana nguvu gani ya katiba na sheria?Au ndo keshapata robo mkate kwa kuapishwa? Yaani mnavyonishangaza kwa kuona jani na kufikiri ni chatu!Kijana, tulia Kenya ni yetu sisi wakenya. Usiwe na presha, rais wetu Uhuru Muigai Kenyatta yupo usukani hadi 2022. Ole wake huyo mchawi RAO iwapo makamu wa rais, William Kipchirchir Samoei Arap Ruto atafaulu kupigiwa pass, uchaguzi wenyewe ukishafika!
Tulijifunza mengi baada ya makosa tulioyafanya 2007/08 mkuu. Hatutaja yarudia tena. Kenya ni yetu sisi sote. Tuache tubaki tulivyo tu.Kaapishwa Uhuru Kenyatta kwa nguvu ya katiba na sheria, na mamlaka yote anayo. Mnaogopeshwa nini na toy ya kuapishwa Raila? Raila ana nguvu gani ya katiba na sheria?Au ndo keshapata robo mkate kwa kuapishwa? Yaani mnavyonishangaza kwa kuona jani na kufikiri ni chatu!