Kevin85ify
JF-Expert Member
- Apr 6, 2019
- 2,684
- 3,429
Nimekupa link ya CBK sivyo? Jifunze kutafuta habari sahihi siyo hizo udaku za kisukuma.Tunaomba ushahidi kwamba hiyo deni imelipwa, na tupe ushahidi kuonyesha kiwango kilichobaki cha External na Domestic ili tulinganishe watu waweze kufahamu, usitoroke tafadhali sana, utawasikitisha mashabiki wako wanaokufuatilia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dhana potovu ni mama zenu kuwalisha mihogo na maharage kutoka utotoni mpaka akili haija komaa.Umesoma post #33?, ninasubiri majibu, kama uliteleza kwa bahati mbaya, kiri kosa ili tuendelee na mjadala, kuna mambo mengi kuhusu Central Bank umeyazungumza ni vizuri tuyapitie ili turekebishe dhana potofu uliyonayo kichwani.
Tafadhali sana jaribu kuwa honest katika majadiliano, lengo ni kuelimishana sio kushindana, haikusaidii wala kukubadilisha kwa kujaribu kudanganya ili kuonekana kwamba unajua kupita wengine.Nimekupa link ya CBK sivyo? Jifunze kutafuta habari sahihi siyo hizo udaku za kisukuma.
Unaona kuruka ruka, nimekupata kwa domestic debt sasa umeruka umeenda kwingine. Kwanza anza na kusema ukweli sio vitu vya kijinga.Tafadhali sana jaribu kuwa honest katika majadiliano, lengo ni kuelimishana sio kushindana, haikusaidii wala kukubadilisha kwa kujaribu kudanganya ili kuonekana kwamba unajua kupita wengine.
Katika hiki kipindi cha Covid-19, Kenya imekopa pesa nyingi zaidi kutoka external sources kuliko international sources, nilitegemea uweke hizo data kutoka May hadi September ujionee External debt ilivyoongezeka, ninadhani umekua mjanja umekwepa kuzileta[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha maneno mengi, ile dhana uliyokua nayo kichwani " unlike other African countries, majority of Kenyan debts is local ", nadhani umeanza kujua ukweli wake kwamba Kenya deni Lake kubwa ni External kuliko internal.Dhana potovu ni mama zenu kuwalisha mihogo na maharage kutoka utotoni mpaka akili haija komaa.
i) Ulianza na kelele mingi ya GOK kuomba kutoka CBK kes 15 billion. Nimekuonesha hiyo ni ujinga kwa sababu hii ni kawaida na wanaruhusiwa kuomba mpaka kes 112 billion kila mwaka.
ii) Ukaruka ukaenda kwa deni ya ndani, link nikakupa ya CBK and Kenyan wallstreet inayoonesha deni ya kenya ya ndani ilukuwa 50% ya deni yote ya nchi, mwezi wa May. Kwa sahi imepanda kwa sababu ya Infrastructure bond ya kes 400 billion, ambayo serikali ilitangaza na watu wameanza kununua tayari.
iii) Wewe na huyo kichaa mwenzanko geza mukaruka mkaenda france, nimewakosoa nikawaambia hiyo ni PPP mabayo si deni.
iv) Hapo juu nimekupa link ya CBK ambayo iko na kila kitu unatafuta, umeshindwa kazi ni kupiga kelele hapa kama mwanamke ako na mimba.
v) Kwa sahi kazi ni kujaribu kutafuta pahali utaegemea kwa vile umekosa la kusema. Hii ni dalili ya mtu mwendawazimu.
Ni serikali ya Kenya inayoongelewa mkuu. Sio ya kwetuKwahiyo ukichapisha pesa ndo unafufua uchumi!? Watanzania hivi nani aliyeturoga!?
Hebu rudi kasome hile link ya Kenyan wallstreet tena kisha urudi uonge kama mwanaume, siyo kama mwanamke aliyenyanganywa bwana.Wacha maneno mengi, ile dhana uliyokua nayo kichwani " unlike other African countries, majority of Kenyan debts is local ", nadhani umeanza kujua ukweli wake kwamba Kenya deni Lake kubwa ni External kuliko internal.
Kwasababu ukweli huo umeshajulikana, watu wameshajua kwamba ulidanganya na wameanza kujua wewe ni mtu wa aina gani, tuendelee na point nyingine ulizosema ili huko pia nikuonyeshe kwamba unadanganya.
Kuhusu Overdraft kutoka Bank kuu, huo ni urongo mtupu, unajaribu kudanganya watu, Setikali haiwezi ku overdraft kwasababu Bank kuu sio Commercial Bank, huwezi kufanya overdraft Bank kuu.
Weka link inayoonyesha loans za Kenya toka May hadi September ili tuangalie kati ya Domestic na External debt ipi ni kubwa zaidi, kama huna LINK tuendelee kutumia data ya May, inayoonyesha kwamba External ni Ksh 3.46trl na Internal ni 3.2trl.Unaona kuruka ruka, nimekupata kwa domestic debt sasa umeruka umeenda kwingine. Kwanza anza na kusema ukweli sio vitu vya kijinga.
Pesa ya Covid mingi ilikuwa grants kutoka kwa marafiki kama UK ,america na eu sio loan. iliyotoka World bank ilikuwa loan ya $1 billion ambayo ni kidogo sana hiyo ni kama overdraft ya GOK hapo CBK ya kes 112 billion.
Nimekuambia nyinyi watanzania masomo iliwashinda kwa kutopata lisha bora mkiwa watoto, soma hapo alafu urudi useme GOK haiwezi kuchukua overdraft kwa CBK. Nyinyi biashara mnajuwa ni kuuza nyanya na chips mayai hii ya CBK inawashinda.Wacha maneno mengi, ile dhana uliyokua nayo kichwani " unlike other African countries, majority of Kenyan debts is local ", nadhani umeanza kujua ukweli wake kwamba Kenya deni Lake kubwa ni External kuliko internal.
Kwasababu ukweli huo umeshajulikana, watu wameshajua kwamba ulidanganya na wameanza kujua wewe ni mtu wa aina gani, tuendelee na point nyingine ulizosema ili huko pia nikuonyeshe kwamba unadanganya.
Kuhusu Overdraft kutoka Bank kuu, huo ni urongo mtupu, unajaribu kudanganya watu, Setikali haiwezi ku overdraft kwasababu Bank kuu sio Commercial Bank, huwezi kufanya overdraft Bank kuu.
Wee bwege umeelewa alicho andika au unaongea tu . Umeambiwa mkopo au bado unaongea utumboKwahiyo ukichapisha pesa ndo unafufua uchumi!? Watanzania hivi nani aliyeturoga!?
Ninarudia tena, Bank kuu sio Commercial bank, Hakuna mteja wa Bank kuu anayeweza kuchukua overdraft, huo ni urongo wacha kudanganya watu.Hebu rudi kasome hile link ya Kenyan wallstreet tena kisha urudi uonge kama mwanaume, siyo kama mwanamke aliyenyanganywa bwana.
Wewe una kichaa hizi reports hutayarishwa kila quarter ya mwaka. Nimekupa link ya CBK iko na kila kitu unataka kupata ama ni kusoma ndiyo shida?.Weka link inayoonyesha loans za Kenya toka May hadi September ili tuangalie kati ya Domestic na External debt ipi ni kubwa zaidi, kama huna LINK tuendelee kutumia data ya May, inayoonyesha kwamba External ni Ksh 3.46trl na Internal ni 3.2trl.
Yani hata mafunzo umekataa, umekwama na ujinga ya kitanzania kweli nyinyi wati hamsaidiki.Ninarudia tena, Bank kuu sio Commercial bank, Hakuna mteja wa Bank kuu anayeweza kuchukua overdraft, huo ni urongo wacha kudanganya watu.
Serikali ikahitaji PESA ya ziada toka Bank kuu inatumia njia zifuatazo
1) Kuuza hati fungani
2)Kutumia National reserve
3) Kuchapisha pesa
Twende taribu, kuna watu wengi wanafuatilia huu mjadala.Yani hata mafunzo umekataa, umekwama na ujinga ya kitanzania kweli nyinyi wati hamsaidiki.
Hata baada ya kukupa links mbili juu ya overdraft?
Kweli sikio la kufa haliskii dawa.
Mimi nimeamua kufunga kabisa kuwaombea hawa manyang'au waepukane na mabalaa yanayoweza kuwakumba.....Tuzidi kuwaombea majirani.
Haya naendelea kukufunza kuhusu domestic borrowing.Ninarudia tena, Bank kuu sio Commercial bank, Hakuna mteja wa Bank kuu anayeweza kuchukua overdraft, huo ni urongo wacha kudanganya watu.
Serikali ikahitaji PESA ya ziada toka Bank kuu inatumia njia zifuatazo
1) Kuuza hati fungani
2)Kutumia National reserve
3) Kuchapisha pesa
HAHAHA, kwa akili yako unafikiria ni lazima benki kuu iwe na cash? Kwa hivyo pia unafikiria benki ya kawaida ikikupa loan inakupa pesa ya deposits?Twende taribu, kuna watu wengi wanafuatilia huu mjadala.
Soma vizuri hii article uliyoweka,
Treasury keeps off CBK overdraft in liquid market
Over draft from Central Bank = Printing Money
Bank kuu haina pesa za ziada za kuweza kuwapa wateja wake kwasababu sio Commercial Bank, tumia akili, Bank kuu itapata wapi pesa za ziada kuipatia serikali wakati haifanyi biashara?
Hapana, usikimbie mpaka tumalizane na Overdraft from Central Bank, lazima tukubaliane kwamba Overdraft ni terminology inayotumika katikae"Commercial Bank" ambapo mteja huchukua pesa zaidi ya kiwango alichoweka, hiyo pesa ya ziada anayoichukua lazima arudishe na interest.Haya naendelea kukufunza kuhusu domestic borrowing.
Treasury Starts FY2020/21 on High Domestic Borrowing - Kenyan Wallstreet
You have really tried to simplify it for him................asiposhika ni ujeuri tu ako nayo!!!i) Printing money is a technical term how many times do I have to say this!!! In reality no money is printed, this is GOK taking a loan from CBK to pay off some urgent commitments like interest payments on treasury bills.
ii) Yes you can if you know how to balance all the financial tools available, also kes 15 billion is not enough money to bring out inflationary pressure. Refer to modern money theory. Britain did it, America recently during Covid 19 crisis took out a $1 trillion overdraft from the federal reserve and put it into the economy to stimulate growth .
NB:Kenya has the lowest inflation rate in east africa at 4.4%, despite dumping over kes 400 billion into the market during this pandemic
NO!!NO!!NO!!NO!!NO!!. Overdraft is a finance term not commercial banking term, it is used anytime you need an urgent injection of cash more than what you have in your account. The moment you know that CBK is also a lending institution like normal banks you will understand(Tofauti ni mteja). Difference is CBK lends to GOK and Banks, while normal banks lend to the population.Hapana, usikimbie mpaka tumalizane na Overdraft from Central Bank, lazima tukubaliane kwamba Overdraft ni terminology inayotumika katikae"Commercial Bank" ambapo mteja huchukua pesa zaidi ya kiwango alichoweka, hiyo pesa ya ziada anayoichukua lazima arudishe na interest.
Commercial Banks zinakuwa na mtaji wa kukopesha wateja wao wanaotaka kufanya "Overdraft", hiyo ndio kazi ya Commercial Bank".
Bank kuu haina huo mtaji na wala haifanyi biashara, serikali inapotaka kuchukua pesa nyingi kuliko kiasi kilichowekwa na serikali, lazima Bank kuu ifanye kuuza "Government bonds", au itumie akiba ya taifa ya pesa za kigeni (Foreign reserve), au ichapishe pesa(Overdraft)