Wacha maneno mengi, ile dhana uliyokua nayo kichwani " unlike other African countries, majority of Kenyan debts is local ", nadhani umeanza kujua ukweli wake kwamba Kenya deni Lake kubwa ni External kuliko internal.
Kwasababu ukweli huo umeshajulikana, watu wameshajua kwamba ulidanganya na wameanza kujua wewe ni mtu wa aina gani, tuendelee na point nyingine ulizosema ili huko pia nikuonyeshe kwamba unadanganya.
Kuhusu Overdraft kutoka Bank kuu, huo ni urongo mtupu, unajaribu kudanganya watu, Setikali haiwezi ku overdraft kwasababu Bank kuu sio Commercial Bank, huwezi kufanya overdraft Bank kuu.