Serikali ya Kenya yafilisika, yachapisha pesa toka CBK

Serikali ya Kenya yafilisika, yachapisha pesa toka CBK

Two points concluded and mutually agreed

1)Ulisema "Unlike other African countries, majority of Kenya debts is local". Hii nimekuthibitishiand kwamba sio kweli umedanganya, by May, 2020, Deni la Kenya ilikua Ksh 6.6trl:
Domestic debt : 3.2trl
External debt : 3.49 trl

Hili tumekubaliana kwamba ulidanganya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

2)Ulisema Kenyan inflation rate is the lowest in East Africa, nimekuwekea link kuthibitisha kwamba umedanganya

Kenya inflation rate is : 4.2%
Tanzania. 3.3%

Hii nayo umedanganya na tumekubaliana katika hilo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ni kwanini wakunya wakiona mwenzao anapotosha na kudanganya humu jamiiforums huwa hawamrekebishi wala kumsahihisha zaidi ya kujitokeza kumtetea?
 
Hivi ni kwanini wakunya wakiona mwenzao anapotosha na kudanganya humu jamiiforums huwa hawamrekebishi wala kumsahihisha zaidi ya kujitokeza kumtetea?
Kawaida wakenya wamekuzwa katika maisha ya kujisifia na kudanganya, hii ni kuanzia rais wa nchi hadi kiongozi wa kijiji. Muhimu kwao ni lazima usifie Kenya na kuwaonyesha kwamba wao ndio wapo mbele kuliko nchi yoyote ile, kwa mfano:

1)Waziri wa fedha wa Kenya wiki iliyopita alisema, uchumi wa Kenya unakua by 2.6%, the highest rate in Africa, wakati anajua kwamba, Rwanda ni 4.1% na Tanzania ni 5.2%, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba kujuzwa, mnaposema kuwa uchumi wa Kenyaumeshuka au upo ICU nisaidieni jamani, Ukifika pale mpakani Sirari/Isibania Ksh 1 - Tshs 22500/ Tuseme shilingi yenye nguvu ni hii ta kwetu au ni ile ya jirani? Nimeuliza tu kwa akili yangu fupi mnisaidie. Ni uchumi upi imara hapo?
Hahaahaahahaha Kwa mujibu wa sentensi yako Kenya ina UCHUMI mkubwa duniani kuliko nchi zote
 
Back
Top Bottom