carter
JF-Expert Member
- Jan 23, 2009
- 3,664
- 4,259
Kupigwa risasi kwa Mh. Lissu habari za "kiuchunguzi" zilitoka kwa blogger jirani hapo. Hii kutekwa Mo pia blogger mwanadada jirani hapo ana habari za "kiuchunguzi"
Huyo mwanadada ana picha za Mo kuanzia Dar, Msa hadi SA. Sasa Sijui connection yake iko vipi na yeye kajiposition wapi kuweza kufanya hiyo coverage namna hiyo.
All in all Mungu ni mwema.
Huyo mwanadada ana picha za Mo kuanzia Dar, Msa hadi SA. Sasa Sijui connection yake iko vipi na yeye kajiposition wapi kuweza kufanya hiyo coverage namna hiyo.
All in all Mungu ni mwema.