Tz haijawahi shindwa kulipa deni ila ni diplomasia yetu ndo ilofanya tusamehewe.1.ushawahi sikia tumeshindwa kulipa deni?
2. Ushawahi sikia Tz imeshindwa kulipa deni hadi kusamehewa tena mara mbili?
Tz haijawahi shindwa kulipa deni ila ni diplomasia yetu ndo ilofanya tusamehewe.
Sarcasim bro… read again.. Slowly…Wacha upuzi. Wapi evidence?
Police reveal driver, plates of car used in kidnap of TZ tycoonMaajabu haya. Watekaji na mtekwa walipita wapi ili wafike Kenya. Don't you have tight security? How about nyumba kumi
Turkish food aid a lifeline for starving KenyansTunawateka na kuwanjanjarusha muache ujinga wa ldc na vibakuli mnavyobebea kila siku mkiongozwa na Magoofool ili muache kuwa omba omba kupe kazi kufyonza wengine.
Kama chakula hamuwezi kununua, vipi myaweza kulipa madeni?1.ushawahi sikia tumeshindwa kulipa deni?
2. Ushawahi sikia Tz imeshindwa kulipa deni hadi kusamehewa tena mara mbili?
Wachukueni na Bashite na baba yake tafadhali
Deni la trillion 112 litalipwa vipi wasipoteka mabilionea?
Hatuitaji ujirani na wanafiki.Wakenya mkuje huku mueleze kwanini mmemteka MO?
Kumbe sie tunahangaika kumtafuta nyie mmemficha, jamani hamuogopi kuwa mnaweza kujiharibia ujirani mwema?
For further information click the link below,
Kenya implicated in the abduction of MO
Haha Mnatibu vidonda vyenu wenyewe.Hata Tundu Lissu pia alipigwa risasi na wakenya, ndio maana baada ya GoT kukataa kata kata kulipa bill yake hospitalini, tuliamua tu kumtibu bure bila malipo. 😎
Hata Al Shabaab waliingia Kenya wakafanya yao wakapotea bila mtu kuwaona.Maajabu haya. Watekaji na mtekwa walipita wapi ili wafike Kenya. Don't you have tight security? How about nyumba kumi
Duh! Upinzani kitu gani ikiwa Tanzania yenyewe ni kama extension ya Kenya tu? Hauna habari? Tz inamilikiwa na Kenya kwa kiwango kikubwa.Kama Wakenya wamemteka basi ni wapinzani wa biashara the likes of BIDCO n Brookside ama sugar barons!
Nyinyi mna nyumba kumi haha, wewe ndio mzee wa kijiji?Hata Al Shabaab waliingia Kenya wakafanya yao wakapotea bila mtu kuwaona.