Yes, si umeona nyumba kumi ilivyosaidia? Taarifa zilisambaa mapema na kila mtu alikuwa macho.Nyinyi mna nyumba kumi haha, wewe ndio mzee wa kijiji?
kule bongo jamaa ni trilionea...duh!View attachment 903202View attachment 903202
Nyumba kumi huwezi mpa mke wako mapenzi bila jirani kuchungulia, pindi tu anaposikia sauti chumbani. Eti kwa sababu anachunguza kama kila kitu kiko sawa. Kila mtu anakua mchunguzi. InaudhiYes, si umeona nyumba kumi ilivyosaidia? Taarifa zilisambaa mapema na kila mtu alikuwa macho.
Hujuwi thamani ya nyumba kumi, wewe mawazo yako yako kwenye ngono tu. Nenda UK au US ukaulize neighbourhood watch wakufahamishe.Nyumba kumi huwezi mpa mke wako mapenzi bila jirani kuchungulia, pindi tu anaposikia sauti chumbani. Eti kwa sababu anachunguza kama kila kitu kiko sawa. Kila mtu anakua mchunguzi. Inaudhi
Sawa mkuu wa kijijiHujuwi thamani ya nyumba kumi, wewe mawazo yako yako kwenye ngono tu. Nenda UK au US ukaulize neighbourhood watch wakufahamishe.