Serikali ya Kenya yapanga Kumhujumu Bakhresa

Serikali ya Kenya yapanga Kumhujumu Bakhresa

japo sina faida ya moja kwa moja na utajiri wa bakhresa, lkn nimefurahi kuona kuwa tunaanza kutingisha nchi jirani. kutaja tu kuwa kuna kampuni kubwa kutoka Tanzania itafungua kiwanda kikubwa Kenya ni sifa kwetu. hongera bakhresa.
 
Unethical way of protecting internal markets, hawa jamaa tumewaruhusu wawe nchi ya pili duniani kwa kuinvest Tz baada ya Uingereza sasa wanatuchezea mchezo mchafu. Wamwache mjasiriamali asopenda siasa afanye kazi!

Tuwe fair kwenye comment, ni Serikali ya Kenya inapanga kumhujumu, au ni woga tu aw baadhi ya wafanyabiashara wa Kenya? Aliyeleta article na heading yake haviendani kabisa. Watanzania bhana tunapenda sana kuspeculate mambo kulingana na hisia zetu tu.
 
Hivi tanbond inatoka wapi?
ndugu kama siagi au margarine zipo za south afrika pale mliman city
Kuna kiwanda arusha kinatengeneza panadol na zingine zinatoka india
cofta na vikskingo sio lazima kutumia mimi situmii
kama ni mafua kuna chapashoka nk.
ujanja upo tu ndugu
serikali inaweza kuweka kodi kubwa ya hizi dawa ili kulinda viwanda vya ndani
kwa vile ktk soko la pamoja afrika mashariki waliweka maazimio ya kuruhusu bidhaa kutoka nchi zingine nk
sasa wanachofanya Kenya sio.

Huna ujanja wa kukataa bidhaa kutoka kenya wewe.. blu band utakula ya wapi?bidhaa za kenya ndo make make..hivi panado hedex hapa mnaweza kutengeneza! Cofta je? Vicks kingo!
 
Ndugu zangu,ambao muda wote mnaingiza siasa za kuponda ni ukosefu wa fikra na uzalendo ,wakenya hawapendi mtz afanye kitu ya maana zaidi yao.soma nyakati sio uchadema kila muda,TANZANIA DAIMA.Bakhresa nenda kwa kishindo muda ni huu alisema jk nyerere:wave:
 
Jamani Hembu kumbukeni Tanga ya zamani,wakati ambao hata Kenya walikuwa hawajafikia.
wakaja wajanja wamehujum viwanda na kuacha magofu then wakenya waka take Advantage hiyo.

Mie mqwnyewe Jana nimeenda Dukani kununua Dawa ,muuzaji ananiuliza unataka Panadol ya Kenya au Tanzania,nikamjibu kwa hasira,wee ya tanzania?hembu nipe ya Kenya,we dawa gani imekaa kama unga wa sembe hata kabla ya kuinywa.

Sioni sababu ya kuwalaumu wa kenya,Halafu labda tutambue suala moja.
bakhresa sio kwamba lengo ni kumhujumu ila lengo ni kuongeza ushindani kimataifa.Bado bakhresa ananafasi kubwa sana kwenye soko la kusini mwa jangwa la sahara.Na anatumia malighafi na nafasi ya Tanzania katika kuwa na malighafi nyingi na Ardhi ya kutosha na hata soko la kutosha kwa bidhaa zake.Yeye aongeze nguvu tu kweney uzalishaji.
Na pia Kenya hanabiashara kubwa kama aliyonayo katia chin za kusini mwa Tanzania ambapo hana mshindani,kwa wale mliopata bahati ya kwenda Zambia au kongo mtakubaliana namie yale magari yake yanayopanga foleni mpaka huukoo yakipeleka mzigo nchi jirani mtakubaliana namie kwamba anasoko kubwa sana huko.Na katika nchi zote ambazo anafanya biashara basi kenya ndio sehem amabayo hana biashara nzuri kwakuwa kuna ushindani mkuwba,sasa haitomuathiri sana.Na wakimecheze tu ataporomosha bei wao wenyewe watainua mikono.
Jama mkali sana kwenye quality na an experts wazuri sana,we angali wkeny Speed boat kwa zanzibar,boat zote zimeinua mikono amchukua soko yeye.na alichofanya ni kuangalia udhaifu wa washindani wake ,na akagundua kwamba Boat zao mbovu na za mitumba.Yeye akaamua kuleta Boat za kisasa kabisa na wala hakupandisha bei.

Kumbukeni kwamba Bakhres aliwahi kuluumbana na kampuni za kuuza Maji ya chupa hapahapa nchini,wakidai kuwa anataka kuuwa soko lao,yeye akawajibu kuwa hauzi maji ila anauza chupa.Wakakaa kimya maana ni lugha ya kiiashara hiyo.

Cha msingi tujipapange wakenya wapo vizuri sana.

MUNGU MBARIKI BAKHRESA NA UMPE WEPESI KATIKA USHINDANI WA BIASHARA ZAKE NA UMLINDE NA FITNA ZA WAFANYABIASHA AU VIONGOZI WAKUU WA SERIKALI YOYOTE WENYE NIA MBAYA YA KUMUANGUSHA KIBIASHARA,MAANA AJIRA ZA WATU MAMILIONI ZITAPOTEA KAMA AKIANGUKA KIBIASHARA.MUNGU WEWE NDIO UJUAE ZAID YETU NA KUOMBA KWAKO NI UTAMBUZI WA KWAMBA HAKUNA ULISHINDWALO NA ULINZI,USALAMA,AMANI,NEEMA NA BARKA ZOTE ZIKO CHINI YA MILKI YAKO
AMEEEEEEN
 
Baada bei ya unga Kenya kupanda marudufu (ksh 100 hadi 200 pakiti ya kilo mbili) kampuni ya Azam imeripotiwa kuingiza mahindi Kenya.
Firms behind maize import

Bakhresa Grain Milling was
reported to have been putting up
a Sh5 billion plant in Mariakani,
Mombasa, two years ago but it
was not immediately possible to
determine whether the plant was
completed.
 
hapa mwanza simu za kuuza madukani tunanunua kenya,kuna kampuni kibao hapa toka kenya MIADI,LA PROMESA,NIVEA...
hatuwawezi wakenya hata kwa chembe moja wale watu wameweka utaifa mbele,sisi ni siasa majungu_to hell Tz
Hayo makampuni kama NIVEA ya Wazungu wanakuja Tanzania kupitia Kenya , so wafanyabiashara wetu nao wanaweza kupata uwakala , usiwe unaogopa watu hivyo wewe
 
Back
Top Bottom