Serikali ya Kijeshi Guinea yasitisha shughuli za vyama 3 vya upinzani

Serikali ya Kijeshi Guinea yasitisha shughuli za vyama 3 vya upinzani

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
GUINEA:Serikali ya kijeshi nchini Guinea imesitisha kwa miezi mitatu shughuli za vyama vitatu vikubwa vya siasa, ikiwemo chama cha Rais wa zamani Alpha Condé (RPG), Union of Democratic Forces kinachoongozwa na waziri mkuu wa zamani Cellou Dalein Diallo, na chama cha Renewal and Progress. Hatua hii imechukuliwa wakati taifa hilo linajiandaa kwa kura ya maoni ya katiba Septemba 21, 2025

Upinzani na asasi za kiraia wametangaza maandamano makubwa kuanzia Septemba 5, 2025 kupinga kile wanachokiita jaribio la kunyakua madaraka. Tangu Doumbouya achukue madaraka mwaka 2021 kupitia mapinduzi, maandamano yamepigwa marufuku na viongozi wa upinzani wengi wamewekwa kizuizini au kulazimishwa uhamishoni

Mashirika ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yameilaani Guinea kwa hatua hizi kali, yakionya kuwa demokrasia changa ya taifa hilo ipo hatarini. Wanasema mwelekeo huu unaweza kutumbukiza nchi katika sintofahamu kubwa




======

Guinea’s military junta has suspended three major political parties, including that of former president Alpha Conde, for three months ahead of a controversial constitutional referendum campaign. The suspension targets Conde’s Rally of the Guinean People, the Union of Democratic Forces led by ex-PM Cellou Dalein Diallo, and the Party of Renewal and Progress.

The move comes as Guinea braces for mass protests starting September 5, organized by opposition groups and civil society to denounce what they call a power grab by junta leader General Mamadi Doumbouya. Doumbouya seized power in a 2021 coup that ousted Conde, who ruled for a decade.

The referendum, scheduled for September 21, aims to rewrite the constitution, but critics warn it could pave the way for Doumbouya to run for president despite a previous ban on junta leaders standing in elections.The military government has banned protests since 2022 and cracked down on opposition leaders, forcing many into exile or arrest.

Earlier this year, dozens of political parties were suspended or dissolved for failing to meet new regulations.International rights groups have condemned the junta’s harsh measures, warning that Guinea’s fragile democracy faces an uncertain future as the country navigates this critical transition.

Source: African news
 
Back
Top Bottom