KANDUDI RAYMOND
Member
- Aug 29, 2014
- 91
- 3
Nimetuma fomu ya mikopo bodi (heslb),na viambatanishi vyote, lakini nimekuja gundua kwamba nilisahau kukata pale sehemu isiyo husika ambayo pia ilitakiwa ikatwe na serikali ya kijiji ...na majina ya waliokosea ,jina langu ckuliona..mkopo nitapata??
Ungekata mwenyewe
hapo umemwambia! Ila asijali kama ana vgezo vya maana, atapata dau tu asijali ila asifikiri hlo dau litamfanya matatizo yaishe! Boom linasaidia kidogo matatizo yasiongezeke bali yabaki pale pale!
Nimetuma fomu ya
mikopo bodi (heslb),na viambatanishi vyote, lakini nimekuja gundua
kwamba nilisahau kukata pale sehemu isiyo husika ambayo pia ilitakiwa
ikatwe na serikali ya kijiji ...na majina ya waliokosea ,jina langu
ckuliona..mkopo nitapata??