Serikali ya Kijiji walisahau kukata sehemu isiyo husika, nitapata mkopo HESLB?

Serikali ya Kijiji walisahau kukata sehemu isiyo husika, nitapata mkopo HESLB?

Joined
Aug 29, 2014
Posts
91
Reaction score
3
Nimetuma fomu ya mikopo bodi (heslb),na viambatanishi vyote, lakini nimekuja gundua kwamba nilisahau kukata pale sehemu isiyo husika ambayo pia ilitakiwa ikatwe na serikali ya kijiji ...na majina ya waliokosea ,jina langu ckuliona..mkopo nitapata??
 
Kama jina lako hujaliona maana yake hilo sio kosa.

Kumbuka,sio wote ambao hawajakosea watapata mkopo.Vigezo vya bodi viko pale pale

Kutokukosea fomu ni jambo moja na kupata mkopo ni jambo lingine kabisa
 
sawa..ila hilo lili kuwa ni jukumu la serikali ya kjiji ,mm niliambatanisha viambatanishi vyote, so itakuwaje hapo?
 
usihofu mkopo utapata kama tu vigezo umetimiza.kama uko science/math ok boom lipo kama kawaida sawa kijana
 
hapo umemwambia! Ila asijali kama ana vgezo vya maana, atapata dau tu asijali ila asifikiri hlo dau litamfanya matatizo yaishe! Boom linasaidia kidogo matatizo yasiongezeke bali yabaki pale pale!

Uko sahihi mkuu,,,
Yaan hela ya boom haina kitu. Mimi kabla ya chuo nikawa najisemea eti nitajibana na boom mpaka nijenge hata kanyumba ka vyumba viwili. Kulipata sasa,, hakuna nilichoambulia, miaka yote minne nimeambulia kununua modo tu na makoti kwa ajili ya interview, tena mwaka wa nne ndo nikajibana niianunua hizo mambo. I see no advantage of boom
 
Nimetuma fomu ya
mikopo bodi (heslb),na viambatanishi vyote, lakini nimekuja gundua
kwamba nilisahau kukata pale sehemu isiyo husika ambayo pia ilitakiwa
ikatwe na serikali ya kijiji ...na majina ya waliokosea ,jina langu
ckuliona..mkopo nitapata??

Utapata usijal, omba tu Mungu
 
Back
Top Bottom