Elections 2010 Serikali ya Kikwete imeleta maendeleo kwa watanzania

Kwa nafasi na wana computer kila mmoja asante mzee wa Kifafa!
 
Kama vile haitoshi, wageni mbalimbali hupenda kutembelea shule mbalimbali na kuona jinsi wanafunzi wa Kitanzania wanavyoshiriki katika kuweka mazingira safi ya shule zao.
 
Kama vile haitoshi, wageni mbalimbali hupenda kutembelea shule mbalimbali na kuona jinsi wanafunzi wa Kitanzania wanavyoshiriki katika kuweka mazingira safi ya shule zao.

naona imebidi wazungu waje kusaidia kusafisha maana kazi imeshindikana kufanywa na serikali za ccm

nasubiria kuona waarabu nao wakija kusafisha
 
wakati huo huo, wanafunzi wanasaidia kuendeleza nchi:

Na wakina mama waliojifungua wakipumzika kwenye zulia baada ya kumaliza kazi ngumu ya kuendeleza nchi (kuzaa watoto):

Shule nyingi sasa za msingi zina mazingira mazuri ambayo kisaikolojia uwezesha wanafunzi wake kusoma kwa utulivu na kuweza kupasi vizuri mitihani yao.

Barabara ya kwenda nyumbani imejengwa:

Bajaji zitapita kweli?, maana JK anataka kuzileta kwa ajili ya akina mama wajawazito. Mawaziri, wabunge na makatibu wakuu wanapata VX.
 
Na wakina mama waliojifungua wakipumzika kwenye zulia baada ya kumaliza kazi ngumu ya kuendeleza nchi (kuzaa watoto):

Fikiria wajawazito kuletwa hospitali na bajaji then wanalazwa chini. Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!
 
Shule nyingi sasa za msingi zina mazingira mazuri ambayo kisaikolojia uwezesha wanafunzi wake kusoma kwa utulivu na kuweza kupasi vizuri mitihani yao.

Nyumba ya walimu wa msingi somewhere in dodoma (kwa mujibu wa hakingowi):

Grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Kibunango,
Mkuu acha kutujmia picha za misaada ya NGO (Plan International) kama ndio maendeleo ya serikali ya JK, unatia aibu zaidi kuonyesha jinsi tulivyokuwa Taifa tegemezi. yaani NGO moja inafanya makubwa kuliko utawala mzima?
 
Shule nyingi sasa za msingi zina mazingira mazuri ambayo kisaikolojia uwezesha wanafunzi wake kusoma kwa utulivu na kuweza kupasi vizuri mitihani yao.

Hii ni shule ya Misheni ndugu yangu siyo ya Kata.
 
Na wakina mama waliojifungua wakipumzika kwenye zulia baada ya kumaliza kazi ngumu ya kuendeleza nchi (kuzaa watoto):

Hawa wajawazito wataletewa bajaj 400 wasihofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…