Serikali ya kujidanganya tu! tupo pabaya kama taifa kwa ukweli
1. Marafiki wanapungua
2. Kesi kwa Rais na wanaulinzi wetu zinatengenezwa kwasababu ya Oct 29,2025
3. Pesa za maendeleo kutoka US and EU zimekatishwa
4. Samia anakimbiwa kiasi kwamba Dangote aliomba asiwepo Kenye kwenye kikao
5. Tunatoka kwa nchi kama USA , za EU and China tunaenda Urusi!!! kwa walala hoi wenzetu
6.Kuchuja kwa kupendwa wanzanaibari zanzibar
7. Kuenea kwa udini
8. utekaji wa wanaharakati bila kujali chama
9. Mauaji ya kikatili
10. Mahakama na majeshi ya kichawa yasiyo pendwa na watanzania