Nzoka yihenge
Member
- Jan 14, 2011
- 47
- 31
kwa hiyo kama wanazalisha sana na kuuza nje basi itawasaidia !Malawi imechukua hatua hii kufuata taratibu walizopangiwa na IMF, taratibu ambazo marehemu Mutharika alizikataa akiogopa inflation, kupunguza thamani ya hela yako kuna effect ya kupunguza gharama za exports na kuongeza gharama za imports.
Malawi imechukua hatua hii kufuata taratibu walizopangiwa na IMF, taratibu ambazo marehemu Mutharika alizikataa akiogopa inflation, kupunguza thamani ya hela yako kuna effect ya kupunguza gharama za exports na kuongeza gharama za imports.
Huo ndio ujinga usiokubalika kiuchumi duniani kote humu. Kwanza tuangalie njia za kuimarisha uchumi, uzalishaji wa bidhaa za kuuza nnje na upunguzaji uagizaji bidhaa toka nnje. Hii ya kushusha thamani ya pesa ndo kwanza naisikia.