- Thread starter
- #41
Mpagani ni yeyote anayemkataa Mungu,Bara ni wapagani
Mpagani ni yule asiyeamini kuwa Mungu alikuja katika mwili wa mwanadamu, akazaliwa, akafa, akazikwa na kufufuka siku ya tatu.
Mungu ni MMOJA na YESU ndilo JINA lake.
Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpagani ni yeyote anayemkataa Mungu,Bara ni wapagani
Wanaitwa suruali kipandeItakuwa ni wale wa suruali fupi sio!!!
Suruali kipandee😀Wanaitwa suruali kipande
Wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sanaHawa jamaa wajinga sana na huo mdini wao wa ajabu.
Wewe ni mweusi tii, unaanza je kukomalia mila za wenye ngozi ya kitimoto?
Taja vifungu hivyo vya Sheria.Wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mtanganyika inakuuma kitu gani? Sii ubaki kwenu tanganyika ujinga pia ni ugonjwa wahi haraka hospitali ukatibiwe pole sana
Nenda India kachinje ngombe hazarani uone utafanywa nnMapumziko yapo kisheria za kimataifa kabisa,
May mosi Kwa Mfano, ni worldwide. Na sikukuu zote kubwa za wakristo na waislamu zipo kisheria zinatambulika.
Lakini haipo SHERIA katika Katiba ya 1984 ya Zanzibar inayozuia watu wasio waislamu kula hadharani.
Hao wanaokula hadharani, ingekuwa wameenda kuiba vyakula vya waliofunga vilivyotunzwa Kwa ajili ya kufuturia jioni, wangekuwa na makosa.Nenda India kachinje ngombe hazarani uone utafanywa nn
Tujfunze kuheshim imani za watu ili na ww uhishimiwe (uvumiliwe) imani yk na ndio maana mnashindwa kuvumiliana kwenya itikadi zenu za siasa kwa kutokutumia akili tu kwa namna mazingira yalokuwepo matusi zarau vijembe kila wkt kwa znz havi saidii kitu
Kwann papa kasema bara la afrika ni sehem maalum kuhusu swala la ushoga ana maanisha kwa mazingira ya tamaduni za afrika ni ngum kubarik mashoga ila sehem nyengn za dunia wanaweza kuendlea kubarik
zanzibar wp wachache wny imani isiyo kuwa ya kiisilam lkn wnapo heshim imani ya wengi na wao wanaheshimiwa