Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

Samahai hapo ni sheria gani unaitumia Mkuu? Au bado haujaijua.
 
Samia azuiwe kuingia kwa mabeberu
Mabeberu wapi hao?!!

Wale waliopigana na kundi la "kigaidi" TALIBAN na leo ni "maswahiba " zao wa KUGARAGARA huku "wakiwasaliti" waliokuwa marafiki zao miaka 20 chini ya Ashraf Ghani na Ahmad Massoud wa kule Panjshir Kaskazini mwa Kabul?!!🤣🤣

Mkuu tuwe tunazifuatilia siasa za kimataifa za hao uwaitao "mabeberu".....🤣

#SiempreJMT
 
WEHU WENGI
 
Shida nikwamba hawa watawala wa dunia ni wanafiki huwa wanaangalia faida zaidi ya kufanya jambo kuliko hasara yake, siyo wa kuwaamini au kuwategemea kabisa kama suala lako halina maslahi nao,watakuzugazuga tu ila vitendo sifuri
 
Gharama ya kuandaa huo "uchafu" ni kubwa kuliko idadi ya wageni tutaopata, by the way ni kudanganya dunia kwamba tuna amani wakati ukweli unaonekana.
 
Kazi iendelee
 
Habari za leo. Naona hujaona maslahi mapana ya Royal tour.
Nadhani ungehamasisha ionyeshwe na hayo unayotaka pia uone namna nyingine ya kufanya.
Sio sawa kuona swala la chama chako cha siasa ni muhimu kuliko mustakabali wa nchi.
 
expect them? somebody is still depending on white man to solve his own issues. lazima tujifunze ku solve issue zetu wenyewe badala ya kumuita au kumlaumu mtu mweupe


We are so far dependents on Whiteman in many aspects, take just a recent instance of Covid vaccine--- have you ever, as an independent man, invent any vaccine???, do not blindfold yourself pretending to be independent while you are not. You cant even make a needle.
 
Naunga mkono hoja asilimia zote
 
CCM watakwambia wewe si mzalendo.
 
Jaji Mutungi yule Msajili ametangaza mazungumzo kutafuta muafaka lakini! Hope mambo yatakaa sawa tu.
Jaji mtungi wa maji huyu huyu yakae sawa?. Unaota ndoto za mchana. Hizo propaganda kuitisha mazungumzo,sijui nini,ni kuzuga tu. Hapo ana maelekezo toka juu. Atafanya maigizo tu,kwa maelekezo toka juu
 
Matatizo yetu ya ndani tunashindwa kuminyana wenyewe kuyamaliza mpaka tunafikia kuomba msaada mtaa wa saba??? Mungu amuweke mahal anapostahili Hamza.
 
Kwa hiyo unahitaji msaada wa mabeberu?
 
Wapuuzi walisema magu akifa mambo yatakuwa kama peponi awakujua kuwa ubongo wa akili wa ccm ni magufuli .sasa wanalia
 
Wito wa watanzania wote waliopo USA kumpokea mama Samia kwa mabango na maandamano ya kupinga siasa zake chafu hapa Tz.

#NoRoyalTour
#FreeTz
Wewe si ulikuwa mpinga magufuli ? Na kusifia ujinga wa kumpa nchi mwanamke
 
Marekani wanajua sn kama huu utawala ni wahovyo na katili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…