Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Samahai hapo ni sheria gani unaitumia Mkuu? Au bado haujaijua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama za kurecord hiyo filamu zimetajwa kuwa ni kiasi gani kwanza?
Mabeberu wapi hao?!!Samia azuiwe kuingia kwa mabeberu
🤣🤣Yaani watz wengi kila kitu bora jana, yaani utawala wa mama leo ni eti uvunjifu wa demokrasia umefikia hatua mbaya zaidi?? Kwa hiyo kwa jpm mlikua mnazingua
WEHU WENGINipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Gharama ya kuandaa huo "uchafu" ni kubwa kuliko idadi ya wageni tutaopata, by the way ni kudanganya dunia kwamba tuna amani wakati ukweli unaonekana.Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Kazi iendeleeNipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Habari za leo. Naona hujaona maslahi mapana ya Royal tour.Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
expect them? somebody is still depending on white man to solve his own issues. lazima tujifunze ku solve issue zetu wenyewe badala ya kumuita au kumlaumu mtu mweupe
CCM watakwambia wewe si mzalendo.Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani.
Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu.
Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Jaji mtungi wa maji huyu huyu yakae sawa?. Unaota ndoto za mchana. Hizo propaganda kuitisha mazungumzo,sijui nini,ni kuzuga tu. Hapo ana maelekezo toka juu. Atafanya maigizo tu,kwa maelekezo toka juuJaji Mutungi yule Msajili ametangaza mazungumzo kutafuta muafaka lakini! Hope mambo yatakaa sawa tu.
Kwa hiyo unahitaji msaada wa mabeberu?Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani.
Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu.
Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Wanaficha sababu kuna watu wamepiga deal zao humo..so sadBado wanazificha Mkuu.
Wapuuzi walisema magu akifa mambo yatakuwa kama peponi awakujua kuwa ubongo wa akili wa ccm ni magufuli .sasa wanaliaNipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani.
Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu.
Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Wewe si ulikuwa mpinga magufuli ? Na kusifia ujinga wa kumpa nchi mwanamkeWito wa watanzania wote waliopo USA kumpokea mama Samia kwa mabango na maandamano ya kupinga siasa zake chafu hapa Tz.
#NoRoyalTour
#FreeTz
Marekani wanajua sn kama huu utawala ni wahovyo na katiliNipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani.