Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

Sidhani kama atakubali kuhojiwa na hivi vyombo vya habari na akikubali basi itakuwa ni AIBU kubwa kwa nchi.
Wewe boya sana ujui huyo mama ni limbukeni wa wazungu na kizungu mwenzako anatafuta kusifiwa na wazungu
 
Umekosa kazi ya kuafanya?
Nyie ndo mnaitwa matako ya nyani.
 
... kama unalopendekeza halikufanyika Rwanda ya Kagame ni kama unapoteza muda wako bure wageshi!
 
Sasa tunaenda kuwaita wabia kwenye maendeleo siyo mabeberu tena
Hizi drama hizi ni kwa kuwa nchi imejaa majitu majinga
 
Naunga mkono hoja endapo ipo haja kuchangia garama wanasheria nipo tayari kuuza jogoo langu.Mama apewe shinikizo asafishe nyumba yake kwanza.Ajabu anakosa masaa machache kukaa na wadau ndugu zake yupo busy na ya dunia.
 
Good. You are opting for a right strategy. Carry on please. It is part of the effective war instrument. Your contribution will be rewarded in some day to come or at the end of the day (struggle).
 
currently white man has supported us in every means. but does it mean we should continue to rely on them?

am not saying am independent. i say we start to depend ourself.
 

Why should they do that? Are they your uncles ?
 
Kama akiwa anawaharibia madili yao ndio huwa wana pay attention. Ila kama hakuna lolote ambalo linatokea kwenye mitikasi zao wanazofanya hapa bongo then ni kama tu kumpigia mbuzi gitaa

Africans never learn .
 
Hiyo ziara sio ya kiserekali na wamesema ni Business Trip inayompeleka New York kwenye kikao cha UN.

Nakumbuka hata marehemu Mugabe alipopigwa ban kuingia Marekani kwa sababu za ukiukwaji wa haki za binadamu lakini kwenye vikao vya UN alikuwa akiruhusiwa kuhudhuria sambamba na ujumbe wa Iran, Venezuela na hata NK.

Huyu mama kwa namna serikali yake ilivyo na rekodi mbovu ya ukiukwaji wa haki za binadamu, hawezi kupewa kabisa mwaliko na serikali ya Marekani na hata kwenye hiyo ziara hawezi kupokelewa na afisa yeyote wa serikali ya Marekani hata Mwenyekiti wa Mtaa. Never.
 
Nakuunga mkono 100%
Twendeni kimataifa maana kenge hasikii mpaka umpige na kumtoa damu,twende kimataifa...wenzetu ni wasikivu
 
Sidhani kama atakubali kuhojiwa na hivi vyombo vya habari na akikubali basi itakuwa ni AIBU kubwa kwa nchi.
Sijui tuna mkosi gani kwenye ngazi ya urais,yaani she is not smart at all,even my kid can outsmart her
 
Reactions: BAK

Mwamba Umeongea Point mnooo
Daaa!
Mkuu naonba Unielimishe...
Hivi Huyo Mheshimiwa yupo Mahakamani Inasemekana Wanavyoamini wapinzani ni Kwasababu anadai Katiba Mpya!
1.Hivi Katiba Mpya Kwa Maslahi Ya Kwao Kuingia Ikulu 90%
Au Kwa Maslahi yako Wewe Mlalahoi?
2.Je Wakiingia Ikulu Nini Watafanya Kipya Ambacho/Ambavyo Havijawahi Kufanyaa?
Nitafurahi Nikipata Majibu Haya Mkuu kwa Lengo tuu la Kunielimisha
[emoji3516][emoji120][emoji120]
 

Nimekupa Kike Mkuu!
Unauelewa Mkubwa mnooo!
Aomba Unijibu hoja Zangu[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…