Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

Sidhani kama atakubali kuhojiwa na hivi vyombo vya habari na akikubali basi itakuwa ni AIBU kubwa kwa nchi.
Wewe boya sana ujui huyo mama ni limbukeni wa wazungu na kizungu mwenzako anatafuta kusifiwa na wazungu
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani.

Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu.

Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:

(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.

(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.

(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Umekosa kazi ya kuafanya?
Nyie ndo mnaitwa matako ya nyani.
 
... kama unalopendekeza halikufanyika Rwanda ya Kagame ni kama unapoteza muda wako bure wageshi!
 
Minyanyeni, uaeni, ilimradi nchi mmefungua, beberu hana shida! Huwa wanaanza choko choko pale tu mnaposhikana mikono kwenye sahani moja.

Ilimradi nchi iko wazi, beberu hana shida na haswa zinapochotwa huku kupelekwa kwake kwa ziara hiyo, bado milango imefunguliwa kwa wazee wa kuhifadhi minoti huko pia, beberu haimhusu mikutano wala mikusanyiko, utawala bora ili iwe nini?

Hili ni mimi sasa, hawa wapinzani sio wanasiasa?
Sasa tunaenda kuwaita wabia kwenye maendeleo siyo mabeberu tena
Hizi drama hizi ni kwa kuwa nchi imejaa majitu majinga
 
Naunga mkono hoja endapo ipo haja kuchangia garama wanasheria nipo tayari kuuza jogoo langu.Mama apewe shinikizo asafishe nyumba yake kwanza.Ajabu anakosa masaa machache kukaa na wadau ndugu zake yupo busy na ya dunia.
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani.

Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu.

Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:

(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.

(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.

(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Good. You are opting for a right strategy. Carry on please. It is part of the effective war instrument. Your contribution will be rewarded in some day to come or at the end of the day (struggle).
 
We are so far dependents on Whiteman in many aspects, take just a recent instance of Covid vaccine--- have you ever, as an independent man, invent any vaccine???, do not blindfold yourself pretending to be independent while you are not. You cant even make a needle.
currently white man has supported us in every means. but does it mean we should continue to rely on them?

am not saying am independent. i say we start to depend ourself.
 
Americans are the world "champion" of democracy ----- in this case we expect them not to be mum, Atleast they have to take their influential opportunity while she is in there to tell her the truth obout deteriorating democracy in Tz by her Government.

Why should they do that? Are they your uncles ?
 
Kama akiwa anawaharibia madili yao ndio huwa wana pay attention. Ila kama hakuna lolote ambalo linatokea kwenye mitikasi zao wanazofanya hapa bongo then ni kama tu kumpigia mbuzi gitaa

Africans never learn .
 
Hiyo ziara sio ya kiserekali na wamesema ni Business Trip inayompeleka New York kwenye kikao cha UN.

Nakumbuka hata marehemu Mugabe alipopigwa ban kuingia Marekani kwa sababu za ukiukwaji wa haki za binadamu lakini kwenye vikao vya UN alikuwa akiruhusiwa kuhudhuria sambamba na ujumbe wa Iran, Venezuela na hata NK.

Huyu mama kwa namna serikali yake ilivyo na rekodi mbovu ya ukiukwaji wa haki za binadamu, hawezi kupewa kabisa mwaliko na serikali ya Marekani na hata kwenye hiyo ziara hawezi kupokelewa na afisa yeyote wa serikali ya Marekani hata Mwenyekiti wa Mtaa. Never.
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani.

Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu.

Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:

(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.

(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.

(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Nakuunga mkono 100%
Twendeni kimataifa maana kenge hasikii mpaka umpige na kumtoa damu,twende kimataifa...wenzetu ni wasikivu
 
Sidhani kama atakubali kuhojiwa na hivi vyombo vya habari na akikubali basi itakuwa ni AIBU kubwa kwa nchi.
Sijui tuna mkosi gani kwenye ngazi ya urais,yaani she is not smart at all,even my kid can outsmart her
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Bado mna siasa za kitoto sana aisee...

Kuna mtu ukimsoma hapo juu anaelezea ya Taleban na USA...Kama hamjui hizi siasa za kihuni za USA nendeni mkasome hiyo story ya Taleban na kupewa nchi ya Afghanistan na USA..

MBS na serikali yake ya Saudia wamemchomoa Kashogi pale uturuki na ushahidi wa wazi kabisa,USA kafanya nini...

Interest za USA Tanzania hazina shida yeyote na kwasasa Taifa linaagiza chanjo ya JJ unafikiri USA atawasikiliza.? Pambaneni kivyenu acheni kuwahusisha wazungu kwenye hizi siasa za kuitafuta Ikulu...

Mwamba Umeongea Point mnooo
Daaa!
Mkuu naonba Unielimishe...
Hivi Huyo Mheshimiwa yupo Mahakamani Inasemekana Wanavyoamini wapinzani ni Kwasababu anadai Katiba Mpya!
1.Hivi Katiba Mpya Kwa Maslahi Ya Kwao Kuingia Ikulu 90%
Au Kwa Maslahi yako Wewe Mlalahoi?
2.Je Wakiingia Ikulu Nini Watafanya Kipya Ambacho/Ambavyo Havijawahi Kufanyaa?
Nitafurahi Nikipata Majibu Haya Mkuu kwa Lengo tuu la Kunielimisha
[emoji3516][emoji120][emoji120]
 
wapinzani Tanzania tafuteni namna sahihi ya kupambana na CCM, hizi siasa za kuwategemea wazungu ndio CCM itoke hazina faida....hao the so called wapo kwa maslahi yao na hata siku ukiona wanausaidia upinzani kuitoa CCM ujue kuna maslahi yao huko..

Watanzania wako tayari kwa mabadiriko miaka mingi sana tatizo ni aina ya wanasiasa na vyama vinavyojinasibu kushika dola na kuitoa CCM..

Nimekupa Kike Mkuu!
Unauelewa Mkubwa mnooo!
Aomba Unijibu hoja Zangu[emoji116]
 
Back
Top Bottom