Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

Vyombo vya habari USA vina haki kikatiba kutangaza lolote umewahi kusikia gazeti lolote au chombo chochote kimefungiwa ! hakuna kitu kama hicho
 

.Hivi Katiba Mpya Kwa Maslahi Ya Kwao Kuingia Ikulu 90%
Au Kwa Maslahi yako Wewe Mlalahoi?
2.Je Wakiingia Ikulu Nini Watafanya Kipya Ambacho/Ambavyo Havijawahi Kufanyaa?
Nitafurahi Nikipata Majibu Haya Mkuu kwa Lengo tuu la Kunielimisha
 
Marekani ukishachezea demokrasia huwa hawachezi na wewe mbali...utani utani hivi hivi mara maza safari ya US giii
 
Apokelewe na MABANGO
 
Naunga mkono hoja.

Tuungane kwa pamoja kupinga uzinduzi wa Royal tour huko Marekani kupinga uvunjaji wa haki za binadamu hapa Tanzania.

#NoRoyalTour.
Diamond tu aliwatoa baru sembuse rais?
 
You never know huenda Mama ameshaliona hilo! Ndiyo maana Msajiri wa Vyama amependekeza Wapinzani kukutana na IGP ili kuona wanafanyaje! Huenda Msajiri amepewa maelekezo!
 
Mkuu pole Sana kwakuondokewa na Jiwe. VP alikuwa hajafanikuwa kuacha wosia wa Nani atamrithi??
 
Americans Champions of democracy [emoji848][emoji2960] Amerika ipi unayoizungumzia mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…