Tunafahamu lakini ya kuwa hiyo documentary aitorushwa bure huko USA, hivi nani atakataa hela inayojipeleka.
Badala ya kutaka wabunge waulize maswali ya msingi kama gharama za kurushwa icho kipindi chake, gharama za kutengeneza, gharama ya kuzunguka na kulala maporini msafara wote ule na kama ni value for money.
Watu mnakimbilia USA izuie; Lissu na CDM wamearibu akili za watanzania mmekuwa tegemezi sana wama beberu kwenye kila kitu, badala ya kupambana vita yenu.
Watanzania wanahitaji mtu mwenye huruma nao kama Magufuli, maana wenyewe ni clueless hata kwenye kuhoji.
Bila ya raisi mwenye huruma na maskini ilo watatia adabu miaka yote.