Serikali ya Marekani izuie mara moja uzinduzi wa Kipindi cha ROYAL TOUR cha Rais Samia nchini humo kushinikiza Utawala Bora nchini

246731A0-FA98-4606-84A2-9E7783E35C75.jpeg
 
🤣🤣🤣Ha ha ha ha Marekani ya sayari hiihii ama nyingine?!!!

Watu walioweza kupigana na Taliban na kuwaita magaidi miaka 20 leo hii WAMEWAACHIA NCHI "magaidi hao"....wamewaachia "silaha za kutosha"....MIKUTANO ile ya DOHA na mtu aliyefungwa miaka 8 na kutoka jela baadae akaviongoza vikao vya suluhu....si mwingine ni Mullah Baradar na wenzake akina Hibatullah Mujahid?!!🤣🤣

Marekani ni rafiki zetu pia...
Rafiki wa CCM na serikali yake....sisi HATUFUNGAMANI na Upande wowote ule......

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziIendelee
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko ...
Hicho kipindi sio cha uingereza,
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Siyo hayo tu, kubwa zaidi ni kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu wa 2020. Matokeo yake ni kuwa na wabunge walioteuliwa na mtu mmoja.
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Hili ni jambo la kuungwa mkono
 
Mtu mpumbavu kabisa
 
Are u sure? Omba lisitokee.... Hasa utawala wa sasa wa Marekani ni watumishi wa democracy
Demokrasia ipi usemayo?!!!

Joe Biden ameridhia kuwaachia nchi TALIBAN baada ya kupigana nao kwa miaka 20 huku wakiitwa magaidi.....amemsaliti Rais wa Afghanistan aliyesimamia "demokrasia".....amewasaliti marafiki zao NORTHERN ALLIANCES waishio bonde la Pashnjir....wote hao wanailalamikia MAREKANI.....🤣

"Magaidi" wa Taliban wasio na "demokrasia" wamekuwa "maswahiba" wa kuachiwa AFGHANISTAN na silaha nzitonzito pamoja na yale magari ghali ya deraya (dola milioni moja kwa kila moja wapo) 🤣🤣

Tanzania haswa mh.SSH Rais Msikivu hafungamani na UPANDE WOWOTE ULE......

#SiempreSSH
#SiempreJMT
#KaziIendelee
 
Uhaini na uasi dhidi ya Nchi usichekewe,hawa sio wenzetu ni waleta chokochoko ,kama vipi hamieni mnakoona kuna demokrasia kuliko kutaka kuihujumu nchi kwa maslahi binafsi ya kikundi cha kisiasa.
 
Americans are the world "champion" of democracy ----- in this case we expect them not to be mum, Atleast they have to take their influential opportunity while she is in there to tell her the truth obout deteriorating democracy in Tz by her Government.
You don’t know nothing

hao wanaangalia interests zao tu…. Na mama Kausoma mchezo wao
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Kabla hujaanza usha feli.
Kumbe huwajui USA, Mh. Rais wetu Mama Samia kaacha msisimamo usio na faida wa kukataa chanjo, na badala yake kaenda kwenye msisimamo bora wa dunia wa chanjo, na ni hiari, hadi hapo USA utamwambia nn kuhusu Rais wetu.

Au ww mgeni kwenye international politics. USA is our friend sana tu at present.
 
Nipo katika hatua za mwisho za kuweka zuio la kisheria la kuitaka serikali ya Marekani kuzuia Uzinduzi wa kipindi cha ROYAL TOUR ambapo uzinduzi huo utafanywa na Rais Samia mwenyewe huko Marekani. Katika malalamiko yangu yatakuwa kuikumbusha serikali ya Washington DC kuwa uvunjaji wa Demokrasia nchini umefikia hatua mbaya zaidi katika utawala huu. Mazingira ya siasa kwa vyama vya upinzani yamekuwa ya kukatisha tamaa na kuogopesha zaidi chini ya utawala wa Samia. Kama mtanzania nina wajibu wa kukemea mabaya ambayo nayaona yanaweza kuvuruga amani ya taifa letu. Mambo makuu ambayo jumuiya ya kimataifa inapaswa kujua kuwa yanatendeka Tanzania ni pamoja na:
(1) Uzuiwaji wa mikutano na mikusanyiko ya ndani ya vyama vya upinzani kinyume na taratibu na sheria za nchi.
(2) Serikali na bunge la JMT kutoheshimu katiba ya vyama vya upinzani na sheria ya uwakilishi bungeni ambapo serikali imekataa kuwaondoa wabunge wasio na chama bungeni.
(3) Serikali kukamata na kuwabambikia makosa yasiyo na dhamana viongozi wa upinzani.
Mungu akutangulie
 
Nyie jamaa wajinga sana, eti Twitter!! Marekani anafanyia kazi upuuzi wa Twitter? Kuna watu wanaandika shit kuhusu serikali yao huko Twitter zaidi ya wamarekani wenyewe? Wanawatukana viongozi wao matusi ya nguoni kabisa, who cares? Watu wanaangalia maslahi yao, siyo nyie wajasiriasiasa ambao mirija yenu ya kula na kuishi kijanjajanja imekatwa! Mother ataenda huko na utashangaa atavyopokelewa kwa shamra shamra, mnataka mtuletee vurugu tuwaachie tu? Kila nchi ina utaratibu wake
 
Back
Top Bottom