Serikali ya Marekani yawazuia raia wake kuitembelea Tanzania kwa madai ya kuongezeka kwa ugaidi, ujambazi, na kushambuliwa kwa wageni

Serikali ya Marekani yawazuia raia wake kuitembelea Tanzania kwa madai ya kuongezeka kwa ugaidi, ujambazi, na kushambuliwa kwa wageni

MY TAKE: Corona imetikisa dunia, nchi dhahifu zitatikisika, ila ukweli unazidi kudhihirika. Hatitukisiki wala kubabaika, hatijawahi kushindwa vita yoyote.

Wimbi la wamarekani weusi kuhamia Tanzania ndio sababu ya yote hii,ila wenyewe uwaambii kitu kuhusu Tanzania na washajua serikali yao inadanganya
 
Mlikataa kula mlungula wa mabeberu wa corona, mtaisoma Namba 😂😂😂
Magu aongezewe mitano mwingine.
 
Tena sasa hivi kutokana na Utofauti wetu kuhusu korona, wengi wanaamini sasa nyumbani kwao kwa asili ni Tanzania.
 
Back
Top Bottom