Serikali ya Qatar kuisaidia Syria kulipa mishahara kwa kuipatia dola milioni 29 za Marekani kwa mwezi!

Serikali ya Qatar kuisaidia Syria kulipa mishahara kwa kuipatia dola milioni 29 za Marekani kwa mwezi!

Wadau hamjamboni nyote?

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo

Syrian minister says Qatar to provide $29 million a month for salary payments​

By Reuters
Qatar is set to provide Syria with $29 million monthly for three months that can be extended to pay salaries, the Syrian finance minister says in a statement
Hawa ndio Wafadhiri wa Magaidi Duniani... ujue tu wanataka kuwa na saying wanavyotaka wao... na Qatar anataka Israel ashindwe kila anapogusa... ila atakwama tu
 
Yaani Syria haiwezi hata kulipa wafanyakazi mishahara, sasa dikteta Assad alikuwa anafanya nini madarakani na ndio akina Iran na Russia bado walikuwa wanamuunga mkono..!!!

This is very pathetic.
 
Mbona ela ndogo sana iyo au labda umekosea mleta taarifa.bilioni 70 kwa watumishi wote mbona kama ni utani vile.unawalipa buku buku kwa mwezi🤣🤣🤣
 
Mbona ela ndogo sana iyo au labda umekosea mleta taarifa.bilioni 70 kwa watumishi wote mbona kama ni utani vile.unawalipa buku buku kwa mwezi🤣🤣🤣
Bilioni 70 kwa mwezi hela ndogo kaka!?
Unatania wewe.
 
Ni biashara maana Qatar watachukua mafuta

USSR
 
Ila wese analo pia bro.
Analo kidogo sana

Huyo ana uza gesi ulaya ndo chanzo cha Syria kutokutilia maana anataka ajenge Bomba la gesi lipite Syria hadi ulaya kitu ambacho urusi hataki kusikia maana yeye ndo muuaji mkuu wa gesi ulaya
 
Mh sijui maana miongoni mwa watu wanaozalisha wese na yeye si yumo!?
 
Mbona ela ndogo sana iyo au labda umekosea mleta taarifa.bilioni 70 kwa watumishi wote mbona kama ni utani vile.unawalipa buku buku kwa mwezi🤣🤣🤣
Mshahara mkubwa Syria ni dola 400

Nikienda Syria naona mabinti kadhaa na Waandishi comfortably
 
Back
Top Bottom