Upo sahihi kabisa kwa upande mmoja ila hata sera kali za mrengo wa kulia za serikali za Israel toka miaka ya mwanzoni mwa 2000 mpaka sasa zimekwamisha kupatikana muafaka wa huu mzozo.Kwa ujumla hayo makundi yote ya kigaidi ya Iran, nchi karibia zote za kiarabu, haziyataki.
Mahali salama kwao ni Iran. Wapeleke makao yao makuu huko Iran. Hayo makundi ndiyo chanzo cha kushindwa kupatikana mwafaka kati ya Palestine na Israel, na ni chanzo cha maafa ya waarabu wengi Mashariki ya kati.
Kafiri atabaki kafiri tuKwa ujumla hayo makundi yote ya kigaidi ya Iran, nchi karibia zote za kiarabu, haziyataki.
Mahali salama kwao ni Iran. Wapeleke makao yao makuu huko Iran. Hayo makundi ndiyo chanzo cha kushindwa kupatikana mwafaka kati ya Palestine na Israel, na ni chanzo cha maafa ya waarabu wengi Mashariki ya kati.
Unaweza ukatupa hapa mipango ya aman iliyokawekwa mpaka Hamas wakaigomea ili tujue nani tatizo?Wadau hamjamboni nyote?
Hatimaye Hamas waagizwa kuondoka mara moja kutoka Qatar.
Magaidi hao wamekuwa kikwazo kwenye mchakato wa kupatikana amani kwa kugomea mipango yote ya kusitisha mapigano pamoja kukataa kuwaachia mateka wanaowashikilia
Uamuzi huo wa Qatar umetokana na ushauri wa Serikali ya Marekani aliye mshirika wake
Wanapanga kuhamishia makao yao makuu kwenye kati ya nchi za Uturuki, Iran, Oman, Lebanon au Algeria
===============================================================
Qatar told Hamas that it must close its diplomatic office in Doha roughly ten days ago following a request by the US, senior Biden administration officials tell The Times of Israel.
Qatar has hosted Hamas officials in Doha since 2012, amid requests from successive US administrations who felt it was important to have a communication channel with the terror group.
Following Hamas’s October 7 onslaught, the US informed Qatar that it would not be able to maintain “business as usual” with the terror group. However, it held off on asking Doha to shutter the Hamas office, viewing it as critical for the negotiations toward a ceasefire and hostage deal.
Those talks succeeded in a week-long deal last November, but they have failed to secure a permanent ceasefire or the release of the remaining 101 hostages.
A US official tells The Times of Israel that Hamas’s late August execution of American-Israeli hostage Hersh Goldberg-Polin along with five other hostages and its subsequent rejection of more recent ceasefire proposals are what led the administration to change its approach regarding the terror group’s continued presence in Doha, deeming it “no longer viable or acceptable.”
The US decision also coincided with its unsealing of indictments against Hamas officials, including one of its top leaders Khaled Meshaal, who is known to reside in Doha, the US official says.
“After rejecting repeated proposals to release hostages, its leaders should no longer be welcome in the capitals of any American partner,” a second senior administration official tells The Times of Israel.
Hamas showed no signs of budging from “unrealistic positions” in the negotiations, including conditions that would have effectively ensured its ability to remain in power in Gaza — “something the US and Israel will never accept,” the US official says.
Two weeks ago, the US asked Qatar to kick out Hamas, the US official says, adding that Doha agreed and gave the notice around October 28.
Details regarding when the expulsion of Hamas officials will actually take place and where they will be ordered to go are still being worked out, the US official says.
Some of the potential landing spots raised in the past have been Turkey, Iran, Oman, Lebanon, Algeria; but each comes with certain drawbacks as far as the US is concerned
Source: Times Of Israel
Hamas ni chama cha siasa chenye makazi yake Gaza kikiwa na lengo la kiokomboa Palestina dhidi Mkoloni Israel.Hayo makundi ya kigaidi yangeenda kuweka kambi zao huko Iran maana waarabu kamili kina saudia, Jordan, qatar wameshtuka hawataki fujo
kuna waarabu wanaish ndan ya Israel ila hakuna wayaud Gaza wala west bankUpo sahihi kabisa kwa upande mmoja ila hata sera kali za mrengo wa kulia za serikali za Israel toka miaka ya mwanzoni mwa 2000 mpaka sasa zimekwamisha kupatikana muafaka wa huu mzozo.
zitto junior
Mkuu; ww ulitakaje?Uharo mtupu😀
Israel anaipiga Palestina hata kabla Hayajafanyika Mapinduzi ya Iran ya kiisilamu, bila kusahau hicho kikundi cha Hamas muanzilishi wake ni Huyo Huyo Israel. Hizi propaganda zenu mnadanganya wajinga ila wenye ufahamu wanawaona kama wapuuzi tu.Kwa ujumla hayo makundi yote ya kigaidi ya Iran, nchi karibia zote za kiarabu, haziyataki.
Mahali salama kwao ni Iran. Wapeleke makao yao makuu huko Iran. Hayo makundi ndiyo chanzo cha kushindwa kupatikana mwafaka kati ya Palestine na Israel, na ni chanzo cha maafa ya waarabu wengi Mashariki ya kati.
Ni Maamuzi sahihi ya nchi yanapaswa yaheshimiwe. Mbona Viongozi wa HAMAS, Hezbollah, Houthis n.k. ni vibaraka wa Iran?Ushauri au shinikizo ?....hawa watawala wa nchi za Ghuba ni vibaraka wa Marekani
Ni kheri kutokuwa king'ang'anizi - Tugange yaliyopo na yajayo. Mnashikilia historia na kuweka visasi vya miaka iliyopita moyoni lakini bado mnaendelea kuuawa kwa wingi kila siku na nchi inageuzwa kifusi.. Ifike mahali tusahau au tusamehe au tuachilie mbali yaliyopita tuchuchumalie jinsi ya kuipata amani. Wanaoumia/kuumizwa ni raia wa kawaida wasio na hatia ilhali wakubwa wa nchi na vikundi vinavyoendesha hiyo mnayoiita ni Jihad wamejibanza mafichoni wapo salama. Kuweni na huruma.Israel anaipiga Palestina hata kabla Hayajafanyika Mapinduzi ya Iran ya kiisilamu, bila kusahau hicho kikundi cha Hamas muanzilishi wake ni Huyo Huyo Israel. Hizi propaganda zenu mnadanganya wajinga ila wenye ufahamu wanawaona kama wapuuzi tu.
Hao waarabu wanaishi sababu wamezungukwa pande zote na Israel na nyumba zao zipo ndani ya Israel hawana PA kwenda ila nao wanateswa vile vile. Tafuta Report yoyote ile iwe Amnesty, human resource watch ama kundi lolote linafuatia haki za Binadamu watakuambia same thing waarabu ni second citizen Israel. Kuna shule hatakuna waarabu wanaish ndan ya Israel ila hakuna wayaud Gaza wala west bank
Wewe kweli Punguani Habari za Hamas unazitoa Israel nimecheka sana unawalisha uharo wakole wenzako hata bila kuhoji wanashangilia tu 😀😀 soma hii chini.Wadau hamjamboni nyote?
Hatimaye Hamas waagizwa kuondoka mara moja kutoka Qatar.
Magaidi hao wamekuwa kikwazo kwenye mchakato wa kupatikana amani kwa kugomea mipango yote ya kusitisha mapigano pamoja kukataa kuwaachia mateka wanaowashikilia
Uamuzi huo wa Qatar umetokana na ushauri wa Serikali ya Marekani aliye mshirika wake
Wanapanga kuhamishia makao yao makuu kwenye kati ya nchi za Uturuki, Iran, Oman, Lebanon au Algeria
===============================================================
Qatar told Hamas that it must close its diplomatic office in Doha roughly ten days ago following a request by the US, senior Biden administration officials tell The Times of Israel.
Qatar has hosted Hamas officials in Doha since 2012, amid requests from successive US administrations who felt it was important to have a communication channel with the terror group.
Following Hamas’s October 7 onslaught, the US informed Qatar that it would not be able to maintain “business as usual” with the terror group. However, it held off on asking Doha to shutter the Hamas office, viewing it as critical for the negotiations toward a ceasefire and hostage deal.
Those talks succeeded in a week-long deal last November, but they have failed to secure a permanent ceasefire or the release of the remaining 101 hostages.
A US official tells The Times of Israel that Hamas’s late August execution of American-Israeli hostage Hersh Goldberg-Polin along with five other hostages and its subsequent rejection of more recent ceasefire proposals are what led the administration to change its approach regarding the terror group’s continued presence in Doha, deeming it “no longer viable or acceptable.”
The US decision also coincided with its unsealing of indictments against Hamas officials, including one of its top leaders Khaled Meshaal, who is known to reside in Doha, the US official says.
“After rejecting repeated proposals to release hostages, its leaders should no longer be welcome in the capitals of any American partner,” a second senior administration official tells The Times of Israel.
Hamas showed no signs of budging from “unrealistic positions” in the negotiations, including conditions that would have effectively ensured its ability to remain in power in Gaza — “something the US and Israel will never accept,” the US official says.
Two weeks ago, the US asked Qatar to kick out Hamas, the US official says, adding that Doha agreed and gave the notice around October 28.
Details regarding when the expulsion of Hamas officials will actually take place and where they will be ordered to go are still being worked out, the US official says.
Some of the potential landing spots raised in the past have been Turkey, Iran, Oman, Lebanon, Algeria; but each comes with certain drawbacks as far as the US is concerned
Source: Times Of Israel
Haya Genious nioneshe njia moja ambayo Palestina hawajaifanya kudai nchi yao.Ni kheri kutokuwa king'ang'anizi - Tugange yaliyopo na yajayo. Mnashikilia historia na kuweka visasi vya miaka iliyopita moyoni lakini bado mnaendelea kuuawa kwa wingi kila siku na nchi inageuzwa kifusi.. Ifike mahali tusahau au tusamehe au tuachilie mbali yaliyopita tuchuchumalie jinsi ya kuipata amani. Wanaoumia/kuumizwa ni raia wa kawaida wasio na hatia ilhali wakubwa wa nchi na vikundi vinavyoendesha hiyo mnayoiita ni Jihad wamejibanza mafichoni wapo salama. Kuweni na huruma.
Hawajaridhia kuwaachia mateka.Haya Genious nioneshe njia moja ambayo Palestina hawajaifanya kudai nchi yao.
Hawajaanza leo wala jana kushikilia mateka, washateka hadi ndege.Hawajaridhia kuwaachia mateka.
Sasa si ndo ivo inawatokea puani?Hawajaanza leo wala jana kushikilia mateka, washateka hadi ndege.
Hata kama habari ni sahihi usiongeze vikorombwezo ambavyo vinaondoa mantiki.Wadau hamjamboni nyote?
Hatimaye Hamas waagizwa kuondoka mara moja kutoka Qatar.
Magaidi hao wamekuwa kikwazo kwenye mchakato wa kupatikana amani kwa kugomea mipango yote ya kusitisha mapigano pamoja kukataa kuwaachia mateka wanaowashikilia
Uamuzi huo wa Qatar umetokana na ushauri wa Serikali ya Marekani aliye mshirika wake
Wanapanga kuhamishia makao yao makuu kwenye kati ya nchi za Uturuki, Iran, Oman, Lebanon au Algeria
===============================================================
Qatar told Hamas that it must close its diplomatic office in Doha roughly ten days ago following a request by the US, senior Biden administration officials tell The Times of Israel.
Qatar has hosted Hamas officials in Doha since 2012, amid requests from successive US administrations who felt it was important to have a communication channel with the terror group.
Following Hamas’s October 7 onslaught, the US informed Qatar that it would not be able to maintain “business as usual” with the terror group. However, it held off on asking Doha to shutter the Hamas office, viewing it as critical for the negotiations toward a ceasefire and hostage deal.
Those talks succeeded in a week-long deal last November, but they have failed to secure a permanent ceasefire or the release of the remaining 101 hostages.
A US official tells The Times of Israel that Hamas’s late August execution of American-Israeli hostage Hersh Goldberg-Polin along with five other hostages and its subsequent rejection of more recent ceasefire proposals are what led the administration to change its approach regarding the terror group’s continued presence in Doha, deeming it “no longer viable or acceptable.”
The US decision also coincided with its unsealing of indictments against Hamas officials, including one of its top leaders Khaled Meshaal, who is known to reside in Doha, the US official says.
“After rejecting repeated proposals to release hostages, its leaders should no longer be welcome in the capitals of any American partner,” a second senior administration official tells The Times of Israel.
Hamas showed no signs of budging from “unrealistic positions” in the negotiations, including conditions that would have effectively ensured its ability to remain in power in Gaza — “something the US and Israel will never accept,” the US official says.
Two weeks ago, the US asked Qatar to kick out Hamas, the US official says, adding that Doha agreed and gave the notice around October 28.
Details regarding when the expulsion of Hamas officials will actually take place and where they will be ordered to go are still being worked out, the US official says.
Some of the potential landing spots raised in the past have been Turkey, Iran, Oman, Lebanon, Algeria; but each comes with certain drawbacks as far as the US is concerned
Source: Times Of Israel
Wachafuzi wa jf kwenye ubora wenuKwa ujumla hayo makundi yote ya kigaidi ya Iran, nchi karibia zote za kiarabu, haziyataki.