Serikali ya Rais Samia Haitasahaulika Wala Kufutika Katika Mioyo ya Watanzania

Mkuu rudia kusoma comments zote kwa makini sana. Angalia ni ngapi ziko positive, na ngapi unatukanwa. The jitafakali sana kama akili yako inawaza sawa na watanzania tunavyowaza.
Usilazimishe watu tuamini kile ambacho wewe unaamini, hata kama ni cha kipumbavu.
Watanzania tuna hasira, tuna maumivu makali sana kwa sababu uongozi uliopo kwa sasa ni hopeless naezasema hatuna viongozi bbali pale juu pamejaa waporaji na majizi yasiyo na huruma na nchi yetu.

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nami mwanzoni nilianza kuw na matumaini na huyu Mama, ila kadri siku zinavyokwenda ndipo naye ameendelea kuharibu. Hasa hili la bandari.
 
Nami mwanzoni nilianza kuw na matumaini na huyu Mama, ila kadri siku zinavyokwenda ndipo naye ameendelea kuharibu. Hasa hili la bandari.
Najua kwa sasa hamuwezi mkaelewa ila mtaelewa tu baadaye .Ngoja mama atuvushe mpaka ng'ambo ya pili ya mto ndipo wengine mtaelewa
 
Kasome habari za Galileo utaelewa na kupanua ufahamu wako
 
Sasa itasahalikaje kwa busara na hekma za mama huyu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…