Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Sherehe za maadhimisho ya uhuru wa nchi fulani ni sherehe muhimu sana kuliko sherehe zozote zile.
Sasa suala la serikali ya mama samia kuzuia maadhimisho ya sherehe hizi kama kumbukumbu ya Tanganyika kupata uhuru ni dhahiri kuwa unawanyima uhuru watanganyika kusherehekea sikukuu/uhuru wao kutoka mikononi mwa wakoloni.
Hivyo kigezo cha kusema hizi sherehe zisiwepo kwa kigezo cha pesa hizo kwenda kufanya marekebisho maeneo yaliyoathiriwa na maandamano naona ni kitu ambacho sio sahihi.
Soma Pia: Sherehe za sikukuu ya Uhuru zapigwa STOP. Fedha kutumika kurekebisha miundombinu iliyoharibika wakati wa Uchaguzi Mkuu
Waache watu washerehekee uhuru wao, mbona hatujawahi kuona sherehe za Zanzibar zikighairishwa?
Kwa kuwa asilimia kubwa ya viongozi wa serikali hii sio wabara hivyo wanaona ni sawa tu ,si ndio?
Kwa ujumla watanganyika tumegoma, tunahitaji sherehe yetu iwepo kama kawaida.