Serikali ya Rais Samia yaingia katika mtego wa Chadema kuwatumia Polisi kuandamana kwa niaba yao

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
12,699
Reaction score
22,598
Polisi wakiwa mitaani wakifanya maandano kufikisha ujumbe kwa jumuia kwa niaba ya Chadema

Chadema wametumia akili sana, na Serikali ya Raisi Samia ikaingia katika mtego wao bila kujitambua na kwa kukurupuka. Chadema walichotaka si wao wenyewe kuandamana, bali maandamano yamefanywa kwa niaba yao na Polisi wenyewe waliotumwa mitaani na serikali ya Raisi Samia. Kwa hiyo vyombo vya habari, badala ya kuonyesha wafuasi wa Chadema wakiandamana kudai haki za binadamu, lengo hili linatimizwa kwa wadau kupitia polisi walio mitaani kuzuia maandamano ya Chadema ya kudai serikali ikomeshe ukiukwaji wa haki za binadamu!

Kuna baadhi ya viongozi wakuu hata wametoa kauli za kuwaua wafuasi wa Chadema na kumvunja mguu wa pili Lissu. Yote haya yamesikiwa na umma wa watu, ndani na nje ya nchi.

Sasa hata mtoto mdogo anajua kwa nini leo Chadema walitaka kuandamana - anapouliza Polisi wanafanya nini mitaani! Maandamano yaliyofanywa na Polisi kwa niamba ya Chadema yamekuwa makubwa kwa kuingia mitaa mingi kuliko ambavyo Chadema wenyewe waneweza kufanya!

In fact, Chadema hapa wameua ndege wawili kwa jiwe moja; ujumbe wao kwa wananchi na hata nje ya nchi umefika, na pili wameonyesha kwa ushahidi ulio wazi ni jinsi gani serikali ya Raisi Samia inatumia vyombo vya dola na nguvu kubwa kukandamiza demokrasia nchini.

Kwa hiyo kwa hapa mpaka hii game inavyomalizika, magoli ni Chadema 2 Serikali 0

Anaemshauri Raisi Samia ni zero kabisa! Lakini Raisi Samia nae anatakiwa afuate ushauri wa Kikwete - za kuambiwa changanya na za kwako upate jibu sahihi!

Pia, soma: LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
 
Nje ya Nchi huko wao wanajali maslahi yao, kama wanapata hawana msaada wowote.

Jamal Kashoggi alikuwa na uraia wa marekani na akauwa na kwa amri ya Crown Prince Mo, lakini ndio amezidi kuwa mshirika mkubwa wa US na Westeners na ndio wanamuuzia silaha zaidi.

Ruto hapo tu kwa jirani, tangu mauji yale na mpaka juzi, umesikia kawekewa vikwazo gani?

Kagame huyo kila siku anaua wapinzani wake, wanaishia tu BBC kuandika basi.

Hizi Mentality sijui nje waone, waseme, wakemee wakati wao wanashindana tu kupata influence( US, China, Russia) kwa ajili ya kupata mikataba ya madini na rasilimali.

Watatoa tamko, siku mbili mbele wanakuja kuingia mikataba kununua uranium, washakusahau.

Wasipopata au ukiwa tishio wa maslahi yao watakufanyia juu chini. Mifano iko wazi
 
Nje ya Nchi huko wao wanajali maslahi yao, kama wanapata hawana msaada wowote.

Jamal Kashoggi alikuwa na uraia wa marekani na akauwa na kwa amri ya Crown Prince Mo, lakini ndio amezidi kuwa mshirika mkubwa wa US na Westeners na ndio wanamuuzia silaha zaidi.

Ruto hapo tu kwa jirani, tangu mauji yale na mpaka juzi, umesikia kawekewe vikwazo gani?

Kagame huyo kila siku anaua wapinzani wake, wanaishia tu BBC kuandika basi.

Hizi Mentality sijui nje waone, waseme, wakemee wakati wao wanashindana tu kupata influence( US, China, Russia) kwa ajili ya kupata mikataba ya madini na rasilimali.

Wasipopata au ukiwa tishio wa maslahi yao watakufanyia juu chini. Mifano iko wazi
Nadhani huelewi geoplitics na FDA (Foreign Direct Investments) zinavyokwenda. Unajua Kenya imepoteza FDA kwa kiwango gani hadi sasa?
 
View attachment 3104039
Polisi wakiwa mitaani wakifanya maandano kufikisha ujumbe kwa jumuia kwa niaba ya Chadema

Chadema wametumia akili sana, na Serikali ya Raisi Samia ikaingia katika mtego wao bila kujitambua na kwa kukurupuka. Chadema walichotaka si wao wenyewe kuandamana, bali maandamano yamefanywa kwa niaba yao na Polisi wenyewe waliotumwa mitaani na serikali ya Raisi Samia. Kwa hiyo vyombo vya habari, badala ya kuonyesha wafuasi wa Chadema wakiandamana kudai haki za binadamu, lengo hili linatimizwa kwa wadau kupitia polisi walio mitaani kuzuia maandamano ya Chadema ya kudai serikali ikomeshe ukiukwaji wa haki za binadamu!

Kuna baadhi ya viongozi wakuu hata wametoa kauli za kuwaua wafuasi wa Chadema na kumvunja mguu wa pili Lissu. Yote haya yamesikiwa na umma wa watu, ndani na nje ya nchi.

Sasa hata mtoto mdogo anajua kwa nini leo Chadema walitaka kuandamana - anapouliza Polisi wanafanya nini mitaani! Maandamano yaliyofanywa na Polisi kwa niamba ya Chadema yamekuwa makubwa kwa kuingia mitaa mingi kuliko ambavyo Chadema wenyewe waneweza kufanya!

In fact, Chadema hapa wameua ndege wawili kwa jiwe moja; ujumbe wao kwa wananchi na hata nje ya nchi umefika, na pili wameonyesha kwa ushahidi ulio wazi ni jinsi gani serikali ya Raisi Samia inatumia vyombo vya dola na nguvu kubwa kukandamiza demokrasia nchini.

Kwa hiyo kwa hapa mpaka hii game inavyomalizika, magoli ni Chadema 2 Serikali 0

Anaemshauri Raisi Samia ni zero kabisa! Lakini Raisi Samia nae anatakiwa afuye ushauri wa Kikwete - za kuambiwa changanya na za kwako upate jibu sahihi!
Tayari wananchi wote wamejua leo ni siku gani.

Hii ni Mind Game pia.
 
Hao chawa mazwazwa sidhani kama watakuelewa. Ingawa na wewe ni mwenzao lakini afadhali wewe umeelevuka.
 
Hizo ni athari za vurugu, fujo, vita, kukoseana amani na utulivu

Au ilimaanisha maandano yalikuwa sio ya Amani?

Nadhani huelewi geoplitics na FDA (Foreign Direct Investments) zinavyokwenda. Unajua Kenya imepoteza FDA kwa kiwango gani hadi sasa?
 
View attachment 3104039
Polisi wakiwa mitaani wakifanya maandano kufikisha ujumbe kwa jumuia kwa niaba ya Chadema

Chadema wametumia akili sana, na Serikali ya Raisi Samia ikaingia katika mtego wao bila kujitambua na kwa kukurupuka. Chadema walichotaka si wao wenyewe kuandamana, bali maandamano yamefanywa kwa niaba yao na Polisi wenyewe waliotumwa mitaani na serikali ya Raisi Samia. Kwa hiyo vyombo vya habari, badala ya kuonyesha wafuasi wa Chadema wakiandamana kudai haki za binadamu, lengo hili linatimizwa kwa wadau kupitia polisi walio mitaani kuzuia maandamano ya Chadema ya kudai serikali ikomeshe ukiukwaji wa haki za binadamu!

Kuna baadhi ya viongozi wakuu hata wametoa kauli za kuwaua wafuasi wa Chadema na kumvunja mguu wa pili Lissu. Yote haya yamesikiwa na umma wa watu, ndani na nje ya nchi.

Sasa hata mtoto mdogo anajua kwa nini leo Chadema walitaka kuandamana - anapouliza Polisi wanafanya nini mitaani! Maandamano yaliyofanywa na Polisi kwa niamba ya Chadema yamekuwa makubwa kwa kuingia mitaa mingi kuliko ambavyo Chadema wenyewe waneweza kufanya!

In fact, Chadema hapa wameua ndege wawili kwa jiwe moja; ujumbe wao kwa wananchi na hata nje ya nchi umefika, na pili wameonyesha kwa ushahidi ulio wazi ni jinsi gani serikali ya Raisi Samia inatumia vyombo vya dola na nguvu kubwa kukandamiza demokrasia nchini.

Kwa hiyo kwa hapa mpaka hii game inavyomalizika, magoli ni Chadema 2 Serikali 0

Anaemshauri Raisi Samia ni zero kabisa! Lakini Raisi Samia nae anatakiwa afuye ushauri wa Kikwete - za kuambiwa changanya na za kwako upate jibu sahihi!
Ila hii Manchester United ya mwaka huu sijui kama itapona kushuka daraja. Mechi 5 imedondosha point 8 na bado hajakutana na wale top 5 kila mwaka. Kimahesabu imeshashuka daraja (5X3)x2=30(Home and Away)+8(zilizokwisha dondoka)=38. Lengo la hizi hesabu ni kuwatahadharisha mashabiki wote wa Man U mjiandae kisaikolojia
 
Nje ya Nchi huko wao wanajali maslahi yao, kama wanapata hawana msaada wowote.
Especially wanapopewa vitalu vya madini, ardhiz mbuga za wanyama na mabandari hawana hawajali chochote
 
Tayari wananchi wote wamejua leo ni siku gani.

Hii ni Mind Game pia.
Yaani nashindwa kuelewa kwa nini serikali ya Samia haikutambua hili. Nililijua mapema nikasema hii thred nitaiweka siku hiyohiyo ya tarehe 23 September.

Mbowe alivyokazia maandamano yako pale pale hiyo Jumatatu, hakuwa anamaanisha Chadema lazima waingine mitaani, alijua Polisi lazima wataingia mitaani kwa wingi wakifanya maandamano kwa niaba ya Chadema!
 
View attachment 3104039
Polisi wakiwa mitaani wakifanya maandano kufikisha ujumbe kwa jumuia kwa niaba ya Chadema

Chadema wametumia akili sana, na Serikali ya Raisi Samia ikaingia katika mtego wao bila kujitambua na kwa kukurupuka. Chadema walichotaka si wao wenyewe kuandamana, bali maandamano yamefanywa kwa niaba yao na Polisi wenyewe waliotumwa mitaani na serikali ya Raisi Samia. Kwa hiyo vyombo vya habari, badala ya kuonyesha wafuasi wa Chadema wakiandamana kudai haki za binadamu, lengo hili linatimizwa kwa wadau kupitia polisi walio mitaani kuzuia maandamano ya Chadema ya kudai serikali ikomeshe ukiukwaji wa haki za binadamu!

Kuna baadhi ya viongozi wakuu hata wametoa kauli za kuwaua wafuasi wa Chadema na kumvunja mguu wa pili Lissu. Yote haya yamesikiwa na umma wa watu, ndani na nje ya nchi.

Sasa hata mtoto mdogo anajua kwa nini leo Chadema walitaka kuandamana - anapouliza Polisi wanafanya nini mitaani! Maandamano yaliyofanywa na Polisi kwa niamba ya Chadema yamekuwa makubwa kwa kuingia mitaa mingi kuliko ambavyo Chadema wenyewe waneweza kufanya!

In fact, Chadema hapa wameua ndege wawili kwa jiwe moja; ujumbe wao kwa wananchi na hata nje ya nchi umefika, na pili wameonyesha kwa ushahidi ulio wazi ni jinsi gani serikali ya Raisi Samia inatumia vyombo vya dola na nguvu kubwa kukandamiza demokrasia nchini.

Kwa hiyo kwa hapa mpaka hii game inavyomalizika, magoli ni Chadema 2 Serikali 0

Anaemshauri Raisi Samia ni zero kabisa! Lakini Raisi Samia nae anatakiwa afuye ushauri wa Kikwete - za kuambiwa changanya na za kwako upate jibu sahihi!
Mumeshindwa kuandamana Wacha blaa blaa.

Polisi kazeni hivyo hivyo 😂😂
 
Hakuna fala
 
Mbowe alivyokazia maandamano yako pale pale hiyo Jumatatu, hakuwa anamaanisha Chadema lazima waingine mitaani, alijua Polisi lazima wataingia mitaani kwa wingi wakifanya maandamano kwa niaba ya Chadema!
Hili hata mimi nililijua....na maneno ya Mbowe ndio yalisababisha akapaniki akachafua Hali ya hewa siku ile akiwa na Mapoti. Yaani vitu vidogo tu vilimpanikosha sana wakati vitu vya maana akavisahau hata kuvia address.
 
View attachment 3104039
Polisi wakiwa mitaani wakifanya maandano kufikisha ujumbe kwa jumuia kwa niaba ya Chadema

Chadema wametumia akili sana, na Serikali ya Raisi Samia ikaingia katika mtego wao bila kujitambua na kwa kukurupuka. Chadema walichotaka si wao wenyewe kuandamana, bali maandamano yamefanywa kwa niaba yao na Polisi wenyewe waliotumwa mitaani na serikali ya Raisi Samia. Kwa hiyo vyombo vya habari, badala ya kuonyesha wafuasi wa Chadema wakiandamana kudai haki za binadamu, lengo hili linatimizwa kwa wadau kupitia polisi walio mitaani kuzuia maandamano ya Chadema ya kudai serikali ikomeshe ukiukwaji wa haki za binadamu!

Kuna baadhi ya viongozi wakuu hata wametoa kauli za kuwaua wafuasi wa Chadema na kumvunja mguu wa pili Lissu. Yote haya yamesikiwa na umma wa watu, ndani na nje ya nchi.

Sasa hata mtoto mdogo anajua kwa nini leo Chadema walitaka kuandamana - anapouliza Polisi wanafanya nini mitaani! Maandamano yaliyofanywa na Polisi kwa niamba ya Chadema yamekuwa makubwa kwa kuingia mitaa mingi kuliko ambavyo Chadema wenyewe waneweza kufanya!

In fact, Chadema hapa wameua ndege wawili kwa jiwe moja; ujumbe wao kwa wananchi na hata nje ya nchi umefika, na pili wameonyesha kwa ushahidi ulio wazi ni jinsi gani serikali ya Raisi Samia inatumia vyombo vya dola na nguvu kubwa kukandamiza demokrasia nchini.

Kwa hiyo kwa hapa mpaka hii game inavyomalizika, magoli ni Chadema 2 Serikali 0

Anaemshauri Raisi Samia ni zero kabisa! Lakini Raisi Samia nae anatakiwa afuye ushauri wa Kikwete - za kuambiwa changanya na za kwako upate jibu sahihi!
 
Attachments

  • 20240923_105848.jpg
    20240923_105848.jpg
    97.7 KB · Views: 2
In fact, Chadema hapa wameua ndege wawili kwa jiwe moja; ujumbe wao kwa wananchi na hata nje ya nchi umefika, na pili wameonyesha kwa ushahidi ulio wazi ni jinsi gani serikali ya Raisi Samia inatumia vyombo vya dola na nguvu kubwa kukandamiza demokrasia nchini.
4R za mchongo
 
Lengo la maandamano ni nini? Mtu mwenye akili anaanzia hapo. Je limetimizwa? Sasa kama wewe una akili jiulize hilo swali
Maskini hawajui hata lengo la maandamano lilikuwa ni nini. wanadhani Chadema walikuwa wanaingia vitani?

It was to send the message. Well done.
 
Back
Top Bottom