Serikali ya Rais Samia yaingia katika mtego wa Chadema kuwatumia Polisi kuandamana kwa niaba yao

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… POLISI leo wameandamana
Kumwamrisha Polisi akufanyie kitu ni rahisi sana! Kuna hadithi jamaa alitaka polisi wamlimie shamba. Akawatumia ujumbe kuna maiti wamezikwa kwneye shamba lake. Wacha polisi watimke kwenda kufukua na majembe kutafuta wapi wamezikwa - wakalima shamba lote jmaa kaja kupanda mbegu tu!

Leo Polisi wakaza buti kuandamana mitaani kwa niaba ya Chadema!
 
"Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema wanawashikilia watu 14, wakiwemo mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, Makamu Mwenyekiti-Bara, Tundu Lissu na mwenyekiti wa chama hicho kanda ya Kaskazini, Godbless Lema"

Polisi wanazidi kutangaza kampeni ya Chadema ya kuandamna!
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…