Serikali ya Rwanda inajenga nyumba self contained kwa wasio na uwezo

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Ni nyumba ya vyumba viwili. Sharti la kuingia humo ni kusaini mkataba na serikali kuwa hutaiuza wala kuipangisha ni kwamatumizi yako na familia
Swali ninalo jiuliza ni kuwa wanalipa kodi au service charges? Ni jukumu la mpangaji kufanya repair kukiwa na kasoro?

Hii inaitwa investing in people, binadamu wanapoishi kwenye mazingira mazuri hata afya zao zina imarika.
yaka











 
Hata wapinzani wake nao wanajengewa kwa vile ni raia wa Rwanda au propaganda za kawaida za kutaka kuonekana inafaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…