McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Serikali ya Rwanda inayoongozwa na Rais Paul Kagame imetoa orodha ya majina 25 ya watu wanaotajwa kuwa wapinzani na magaidi wa taifa
Katika orodha hiyo watu wengi waliotajwa ni waliokuwa washirika wa karibu wa Rais Paul Kagame kabla ya kuvunja uhusiano naye na kukimbilia ughaibuni.
Orodha hiyo hiyo imeweka imefafanua na kuweka wazi majina na sehemu waliyozaliwa watu hao, wanapoishi kwa sasa, shughuli za kisiasa wanazofanya na sababu za kujumuishwa kwenye orodha hiyo.
Miongoni mwa tuhuma kuu zinazowakabili watu waliotajwa kwenye orodha hiyo ni kutumia ushawishi na umaarufu wao kuunga mkono makundi yenye silaha ambayo serikali ya Rwanda inayatambua kama ya kigaidi, kwa nia ya kuhatarisha usalama wa taifa.
Hata hivyo, taarifa iliyotolewa na Serikali ya Rwanda haijaeleza kama serikali inapanga kuchukua hatua za kisheria dhidi ya watu hao au njia itakayotumika, ikizingatiwa kuwa wote waliotajwa kwenye orodha hiyo wanaishi nje ya nchi.
======================================
Twenty-five people have been sanctioned by the Rwandan government for terrorism and terrorism financing in a new sanctions list released by the Financial Intelligence Centre (FIC) on Tuesday, October 14.
The list includes members of the FDLR, a DR Congo-based Rwandan militia linked to the 1994 Genocide against the Tutsi, RNC, MRCD, FLN and affiliated militia groups.
1. Lt Gen Gaston Iyamuremye
Number one on the list is Lt Gen Gaston Iyamuremye, the president of the FDLR, who is also known as Victor Byiringiro, Rumuri. Iyamuremye, 76, was born in Musanze District and is currently believed to be living in Walikale, eastern DR Congo. He is also under sanctions by the UN Security Council and the US government.
Iyamuremye has been involved in planning and coordinating terrorism activities by FDLR targeting Rwanda, extortion, illegal taxation and plundering of natural resources for financing terrorism activities.
2. Maj Gen Pacifique Ntawunguka
Maj Gen Pacifique ‘Omega’ Ntawunguka is the commander of the FDLR-FOCA. Like Iyamuremye, Ntawunguka is accused of involvement in planning and coordinating terrorism activities by FDLR targeting Rwanda, extortion, illegal taxation and plundering of natural resources for financing terrorism activities. Born in Ngororero District, Ntawunguka, 61, is currently based in Walikale, eastern DR Congo.
3. Col Sylvestre Sebahinzi
Also known as Zinga Zinga ZZ, Col Sylvestre Sebahinzi is a member of the FDLR and an active mobiliser of financial support for the terror group, especially in the Southern African region. Born in Nyabihu District, the 64-year-old businessman and nephew to former President Juvenal Habyarimana is currently based in Lusaka, Zambia.
Between 2006-2009, Sebahinzi commanded terror attacks when he was the FDLR sector commander. “He also served as FDLR prosecutor in Kangaroo courts that executed many innocent civilians in DR Congo,” the FIC said. He is connected to the FDLR and its financial flows.
Source: The Great Lakes Eye
List yote inapatikana hapo chini