Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Serikali ya mama yenu Samia imeharibu nchi yetu na kuwaacha wengi na hasira na majozi hii haikubariki kamwe.
Anasingizia watu kesi za uongo, anaweseka gerezani watu wazuri, anauwa watu wazuri, anateka watu wazuri huu ni wehu ni wazi sasa nchi imevamiwa na shetani
Baadhi ya watu wameamuwa kufanya kazi na shetani ni watu wasio na akili ni wapumbavu.