Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

Huyu bibi hamna kitu na atakuwa katili sana kuliko meko sababu hajiamini, ana inferiority.
Ila pia hata hafai kuwa raisi
 
Washauri wa Magufuli ndio washauri bibi, hivyo tusitegemee jipya ni ukatili mtindo mmoja
 
Ni sahihi unachosema.

Lakini kwa waumini, tunachoweza kufanya ni kumwomba Mungu atujalie viongozi wenye hekima na wala asiruhusu shetani akawa ndiye muamuzi wa maisha yetu.

Nini Mungu atatenda au hatatenda, mwanadamu hana mamlaka juu ya hilo. Mungu hujibu sala za waja wake kwa wakati ufaao, wala hakawii, wala hakosei. Maombi yetu wala siyo ya kumwombea mtu yeyote kifo, ila ikimpendeza Mungu, tujaliwe kuwapata viongozi wenye hekima, watenda haki na wenye kutii amri kuu ya Mungu, amri ya upendo.

Lakini wakati tukimwomba Mungu, yatupasa kujiuliza na kutafakari, sisi kaka wanadamu tuliojaliwa akili na utashi, tunafanya katika kulipata tunalomwomba Mungu, ili yeye akaweke baraka katika jitihada zetu.
 
Alikuwa muungwana lakini upinzani hawakuujali uungwa wake kina mdude vilaza wakaanza kumkejeli wacha waipate maana wamekuwa wajinga
 
Alisha sema yeye Hana tofauti na mtangulizi wake hii Ina maana kwa kila tukio , mpango ,miongozo ya aliye kuwa raisi na yeye alishiriki kikamilifu saana
 
Inashangaza sn,halafu watu si wajinga sikuhizi.Kumbambikia mtu kesi kijinga hivi ni ushamba.

Watakufa et hawa watu jamani,mbona hawajifunzi?

Watanzania sikuhizi maombi yao ni makali wakiamua kumshitakia Mungu
 
🀣🀣🀣🀣 Mbowe gaidi... Mama kaanza na moto sana kupita JPM
Unakataa nini au hujui kiswahili- GAIDI NI NANI=
Ugaidi ni mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Matendo ya kigaidi yanatisha kwa sababu watu wanajeruhiwa au kuuawa. Watendaji wa ugaidi kwa kawaida ni vikundi au watu wasio na cheo au nafasi rasmi.
 
What a shame mbowe gaidi bora wangempa ML tungeelewa ugaidi dah hapa mama umechemka sana umefuta mazuri yote pls mwachien huyu mtu hana kosa
 
Washauri wa Magufuli ndio washauri bibi, hivyo tusitegemee jipya ni ukatili mtindo mmoja
Wewe acha uongo,Samia alivyoingia Ikuru aliwatoa wote waliokuwa wakifanya kazi na Magufuri, mpaka Katibu mkuu,akateua washauli wapya,au nikuletee tarifa za Msigwa za uteuzi wa viongozi wa state house?Samia anawashauli wake acha kumsingizia Magufuri.
 
Najiuliza hivi kwanini watawala wanakua na macho lakini hawaoni, masikio lakini hawasikii?? Hivi kuna wakati wa mateso, kupotea, kuporwa haki zaidi ya kipindi cha JPM??? Ni nini kilichopatikana kwa kufanya hayo yote zaidi ya utawala kubadilika kutoka awamu ya tano kuwa ya sita?? Wanashindwaje kuiona adhabu ya Mungu kwa wadhulumu aka dhulumati? Nashangaaa
 
Yaani hawa police hawana hata aibu....Mbowe amekua kiongozi wa upinzani miaka mingapi..iweje leo ndio atake kuua viongozi wa serikali?
 
Wa
Yaani hawa police hawana hata aibu....Mbowe amekua kiongozi wa upinzani miaka mingapi..iweje leo ndio atake kuua viongozi wa serikali?
Walimtishia Samia,kuwa wembe ulionyoa Magufuri ndio huo utakao nyoa Samia,na Mbowe akashangiri wala akukanusha, lazima Samia ahanze kujiami mapema Kabla ya kunyolewa πŸ˜ƒπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜
 
Acha unyenye kulia lia!!??
kutwa mnamsumbua mama......
mkibanwa kidogo.....
eti alafu mnajifanya mtapiga goti kima kweli nyinyi....
 
Wewe acha uongo,Samia alivyoingia Ikuru aliwatoa wote waliokuwa wakifanya kazi na Magufuri, mpaka Katibu mkuu,akateua washauli wapya,au nikuletee tarifa za Msigwa za uteuzi wa viongozi wa state house?Samia anawashauli wake acha kumsingizia Magufuri.
Mshauri mkuu wa rais ni baraza la mawaziri
 
Safari hii delta inaondoka na akina mama, akae chonjo, mghwira tayari kashafungua njia

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…