Serikali ya Samia Suluhu Hassan nayo yaanza rasmi kubambikizia watu kesi

Nendeni mkajibu case ya ukaidi ya bwana yule...nyie mnavyomwambia mama mtamnyoa kwa wembe ule ule unazani yy sio binadamu! Mama alianza kwa gear nzur ya sana ya uungwana..kuwatolea mvuta bange wenu kisha mkaanza kumtukana mkasahau alivyowapa staha alivyoingia..sasa mtaipata subirini
 
Wewe acha uongo,Samia alivyoingia Ikuru aliwatoa wote waliokuwa wakifanya kazi na Magufuri, mpaka Katibu mkuu,akateua washauli wapya,au nikuletee tarifa za Msigwa za uteuzi wa viongozi wa state house?Samia anawashauli wake acha kumsingizia Magufuri.
Yote twayaona waziwazi,
Kwa matendo haya ya udhalimu uliyokuwapo akiwa VP, YAONEKANA washauri wa SSH ni walewale. Polisi ni ileile ya Siro na Kakwale. TISS vilevile...
 
Corona bado ipo ...wacha tuone kama anaweza kupingana na mpango wa Mungu...ajicheki..
 
Mbowe alijua anachunguzwa akaamua kuanzisha movement ya Katiba ili akikamatwa mazwazwa kama nyinyi mseme kabambikiwa kesi. Mbona Sabaya hamkusema kabambikiwa kesi, mpaka kesi nyingine imebidi zifutwe ikabakia ya kuiba techno. Acheni double standards.

Mbowe ni binadamu siyo malaika, anaweza kuwa muhalifu kama walivyo wahalifu wengine.
 
Acha kutusi wakinamama kwa mapenzi yako ya kipumbavu kwa hao wahalifu. Acheni sheria ichukue mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…