McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano na Posta Sudan imetangaza kufungia huduma za simu na video kupitia WhatsApp kuanzia Ijumaa, 25 Julai, ikidai sababu za kiusalama. Ujumbe wa maandishi na makundi ya mawasiliano hayajaathirika.
Uamuzi huu umekosolewa vikali na wanaharakati na wataalamu wa sera za kidigitali, wakisema unalenga kudhibiti mawasiliano na kuzuia sauti za upinzani wakati wa mgogoro wa kisiasa na vita.
Wengine wamesema hatua hiyo itaathiri wananchi wanaotegemea WhatsApp kwa msaada, misaada na mawasiliano ya kifamilia, huku ikiongeza gharama kwa watumiaji wanaokimbilia VPN, Starlink na laini za kigeni
=============================
The Telecommunications and Post Regulatory Authority has announced a nationwide ban on WhatsApp voice and video calls effective on July 25, citing national security concerns. In a statement by the regulator, it was confirmed that text messaging and group chats will remain unaffected, but urged users to accept the restrictions.
The decision has provoked widespread criticism, with activists and digital rights defenders describing it as an attack on freedom of communication. Digital policy expert Ammar Hamouda said the move reflects a combination of security, political, and commercial motives.
The government previously framed similar restrictions in economic terms, but the security justification now takes precedence while civilians are ignored. Many WhatsApp users are now turning to VPNs, satellite services like Starlink, or foreign SIM cards to stay connected.
Source: All Africa, Radio Dabanga