Serikali ya Sudan kuikimbia mji Mkuu Khartoum na kuhamia Port Sudan

Kwa lugha nyingine kakubali yaishe!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bado hajakubali huyo, anajaribu kufanya maamuzi ya kuigawa nchi halafu yeye kuchukua upande wa bahari na kuufanya upande wa Khartoum kuwa landlocked, just kama Eritrea walivyoifanyia Ethiopia.
Screenshot_20230918-101657_Google.jpg
 
Burhani alitaka daglo na kikosi chake waingie/wawe chini ya jeshi la nchi,daglo akaona atakua mdogo,hapo daglo ndiyo mpumbavu,Hana uzalendo,huwezi kuwa na majeshi mawili ndani ya nchi
Ni kwamba burhani na dagalo walikubaliana baada ya kumpindua raisi al bashir ba watawale kidogo then serikali ya kiraia iingie madarakani lakini hadi sasa burhani kanogewa na madaraka hataki ayapeleke kwa raia
 
Sasa hataki, yamemkuta, ataandikwa na historia kuwa kaisambaratisha Sudan iliyokuwa imara.
 
Burhani alitaka daglo na kikosi chake waingie/wawe chini ya jeshi la nchi,daglo akaona atakua mdogo,hapo daglo ndiyo mpumbavu,Hana uzalendo,huwezi kuwa na majeshi mawili ndani ya nchi
Haya mambo yanataka kila mtu kujishusha kwa maslahi ya maisha ya binadamu wengi. Wote ni wajinga tu. Huwezi kupigana vita inayoua mamia ya ya watu kwa sababu tu unataka fulani awe chini yako.
 
Ni kwamba burhani na dagalo walikubaliana baada ya kumpindua raisi al bashir ba watawale kidogo then serikali ya kiraia iingie madarakani lakini hadi sasa burhani kanogewa na madaraka hataki ayapeleke kwa raia
Kwamba dagalo anataka yaende kwa raia!?
 
Tatizo la watigray walpokuwa madarakan walimnyanyasa sana Eritria sasa na wao walipopata matatizo na Serikali kuu eritria akawabania ndio anguko lao hawatapata kitu
Ndiyo maana Tigray walipotaka kujitenga, faster Eritrea akaenda kuisaidia serikali ya Addis Ababa
 
Kwahiyo akihamia huko ,mkong'oto hautakuwepo ,general huyo port Sudan haijui ?
Kuna kundi lingine limeibuka juzi huko port Sudan, Majeshi ya serikali yakutana na waasi na kurushiana risasi. El Burhan hakutarajia hili.
 
Burhani alitaka daglo na kikosi chake waingie/wawe chini ya jeshi la nchi,daglo akaona atakua mdogo,hapo daglo ndiyo mpumbavu,Hana uzalendo,huwezi kuwa na majeshi mawili ndani ya nchi
Soma historia, haya mambo aliyaanzisha Omar
 
Back
Top Bottom