Serikali ya Sudan Kusini yakanusha uvumi wa kifo cha Rais wa nchi hiyo Salva Kiir

Serikali ya Sudan Kusini yakanusha uvumi wa kifo cha Rais wa nchi hiyo Salva Kiir

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
2,536
Reaction score
7,194
Serikali ya Sudan Kusini kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imekanusha uvumi unaosambaa kuhusu hali ya afya ya Rais Salva Kiir Mayardit.

Kupitia taarifa rasmi, wizara imethibitisha kuwa Rais Kiir yuko hai, anaendelea vizuri kiafya na anaendelea kutekeleza majukumu yake ya urais kwa nguvu, ari na ustawi.

Wizara pia imelaani vikali kusambazwa kwa taarifa hizi za uongo, ikieleza kuwa ni juhudi za makusudi za kuleta hofu, mkanganyiko na kutetereza amani na maendeleo ya taifa. Wamesema uvumi huo umetungwa na maadui wa amani, maendeleo na ujenzi wa taifa la Sudan Kusini.

salva.png

=============================

The government of South Sudan through the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation, has dismissed widespread rumors regarding the health of the country's President, Salva Kiir Mayardit.

"The Ministry would like to assure the South Sudanese public, the region and the international community that H.E. President Salva Kiir Mayardit is alive, well and fully engaging in the service of the nation. He continues to carry out his presidential duties with vigor, commitment, sound health and complete fitness," says the Ministry in a statement.

The statement adds, "The Ministry condemns in the strongest terms this deliberate spread of misinformation aimed at creating unnecessary panic, confusion, and instability. Such fake news only serves the interests of those who wish to undermine our nation’s sovereignty, hard-won peace and progress. These are entirely baseless and irresponsible rumors fabricated by enemies of peace, development, nation building and stability in South Sudan."

Source: Buzzroom Kenya
 
Km kweli basi sudan itaanguka kwwnye civil war

Huyu faza mstahimilivu mno
 
faza huyu huyu salva Kir au mwingine. Kama ni huyu ni miaka tu sasa nchi inaendeshwa na wahuni kupitia kivuli chake. huyu ni mgonjwa muda mrefu
Anawamudu wahuni akilala wahuni watamgawana yule deputy Presdent
 
Si kuna siku alijikojolea hadharani wakati wimbo wao wa taifa ukiimbwa ?!
Yap! Mwaka juzi katika kikao cha EAC Arusha alimuita Rasi samia kuwa rais wa Jamhuri ya Burundi. Yaani ni mgonjwa kitambo hadi ushirikiano kati ya viungo na ubongo hakuna.
 
Yap! Mwaka juzi katika kikao cha EAC Arusha alimuita Rasi samia kuwa rais wa Jamhuri ya Burundi. Yaani ni mgonjwa kitambo hadi ushirikiano kati ya viungo na ubongo hakuna.
Umenifanya nicheke peke yangu tena kwa sauti!😂😂😂 Eti Rais Samia ni rais wa jamhuri ya Burundi !🤣🤣🤣.
 
Back
Top Bottom