Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Kwa kweli level ya MASTERS ni aibu kuweka Supplementary exams kwa kuwa hii ni levo ya kujengana uelewa tu!
Mimi nashauri serikali wangeweka utaratibu wa mtu kurudia darasani kwa muda mfupi somo ambalo mtu hajafanya vizuri! au akipewa mtihani kama anatakiwa kupata A apewe sio kulazimisha marks za chini.
Ni aibu sana kwa level hii kumpa mtu sup ina maana mwalimu anakuwa naye kafeli kumuelekeza mwanafunzi wake kwa level hii.
Kuna vyuo wanalipisha hela kwa ajili ya sapu! Hii inakuwa kama biashara walimu wanashindana kufelisha ili kupata posho ya kusahihisha sapu! sijajua kazi ya NACTE na TCU ni nin katika kushauri haya mambo ya aibu.