Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
TRC na Air Tanzania zimekuwa kama biashara ya daladala sio?Huwezi kuamini kuendesha ni kazi rahisi tu hamna cha zaidi pale unacheza na hesabu ya mapato na matumizi sio lazima uwe msomi mkubwa