Ndiyo tunapongeza jitihada zilizofanywa kurejesha huduma hizo lakini tujiulize, Je, hizo huduma hazikuwepo awali?
Kama zilikuwepo nani aliziharibu, alichukuliwa hatua gani?
Tusipokuwa Wazalendo kuthamini vitu vyetu tutakuwa Taifa la kwenda na kurudi.