muafi
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 2,557
- 6,128
mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula anafunga kituo.
sasa vituo vingi vimejengwa na vinaenda kukamilika Rasilimali watu hakuna.
serikali imeamua ije na mbinu za kilaghai kuwalaghai wanafunzi wanaograduate wakajitolee na wajesabike kwa kusaini mikataba kabisa kwa ujira mdogo sana wa pesa ya kubrashia viatu na kununulia vitafunwa vya chai.
huu ni unyonyaji, tuliwaambia CCM haina pumzi tena wamekalia kulipa mishahara watu kama polepole na bashiru ambao hawana kazi yoyote wanayofanya eti mbunge wa kuteuliwa na Rais.
vyeo hewa vimejana serikalini wakati huduma za msingi na muhimu wananchi wanakosa.
mmeamua kutumia cheap labour kwa nguvu zote ili muwape tu posho ya kununulia vitafunwa?
naomba kuuliza hawa volunteer watapewa na mda wa kutosha kutafuta ridhiki sehemu nyngine? maana ni ngumu mtu anafamilia kuendesha maisha kwa posho ya kujitolea.