Serikali ya Tanzania imeshindwa kuajiri watumishi wa Afya, imekuja na mbinu za kilaghai

WAPO WALE COVID 19.NDUGAI/HALIMA GANG VERY DANGEROUS. NI UHUJUMU UCHUMI WA WAZI WAZI
 
umeongea kwa uchungu sana, kunywa maji mwanangu. {in Kinana's voice}
 
kama una ndugu yako ni amegraduate mwambie aende kwenye hii program!ujue ndio mfumo upya wa ajira!!!
Aisee hii Program Inaanzaa Lini kunaa ndugu Yangu ame graduate mwaka huu anatakaa Kujuaa inaanza Linii Ili aendee Kwenye hii program Ya Kujitoleaa
 
Wanaopewa mishahara mikibwaaa ipunguzwe ili fedha itumike kuajiri na wengine.
ukisema hivyo wakakusikia wanakuita kamati ya maadili, nchi ni masikini ila bungeni kuna wabunge wa viti maalumu zaidi ya 100, kwann wasingerwkebisha baadhi ya vipengele ili kuondoa hivi vyeo visivyo na tija?
 
Jamani jamani mnamwambia Dr ajitolee kwenye miili ya binadam kweli Tz tunakokwenda hakueleweki.Kama ndio hivyo basi MD hamtawapata wote watakimbilia nchi nyingine zenye uhitaji mkubwa wa MD .Hapa Tz tutabaki na AMO sijui wanaitwa hao wenye advance medical officers.Chonde chonde Gwajigirl sisi tunaotibiwa hatuijaji kutibiwa na MD wanaoitoleo ni hatari ujue
 
yai ni shida asee
 
Kujitolea ni muhimu kwa fresh graduate na kipaumbele Cha ajira kitolewe kwa waliojitolea
 
Hii si bora kuwa dereva bajaji au bodaboda, why Kama vipi wasiunde vikundi mkawawezesha, hii kitu gani sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…