Serikali ya Tanzania kuajiri watumishi 44,096 na kupandisha madaraja watumishi 92, 619

Safi
 
Ndogo mnoooo hasa kwenya elimu, kuna graduate zaidi ya laki tano mtaani wa ualimu tu ambao wanaranda randa bila ramani.
Mkuu ebu acha porojo serikali haiwezi kuajiri graduate wote mtaani. wanaangalia budget na mahitaji
 
ingeacha kuajiri kwanza au iajiri wastani ili kujenga uwezo wa kuwaboreshea masilahi waliopo.

lkn pia ni wakati sasa serikali ikaajiri kwa MIKATABA YA Muda sio KUDUMU.

MKATABA WA MIAKA 3 ikimpendeza mwajiri anaongeza. vinginevyo anasitisha mkataba, hii itasaidia sana kuongeza ufanisi kazini, na pia wataheshimu kazi.
 
Hiki unachokisema kinatumika nchi gani??.

Suala la watu kutoheshimu kazi ni hulka tu ya mbongo. Porojo nyingi kazi ni sifuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…