Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Afrika kusini wamekimbiza wahamiaji haramu, waliopitiliza vibali, waii, majambazi na wadaa poa , wanao jiuza kama ajira.
Uganda wakafuata kufukuza wageni wa namna hiyo na sasa Kenya kuaznia leo wanafukuza , warundi wamejaa ubalozi kuomba passport na residency permitt.
Je, Tanzania nasi tuanzie Kariakoo kulikojaa wale jamaa wa "lingala" na "wanyasa " waliojaa Kawe, Mwananyamala, Masaki , Buza na Madale?