BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hatuwezu kaa Kimya huku Democrasia ikiwa kwenye majaribu makubwa sana, tunaitaka Serikali kupitia Balozi wake au kupitia waziri wa mambo ya nje watoe tamko rasimi la kulaani Jaribio la kutaka kumuua Trump na kuitaka Serikali ya Marekani kuheshimu misingi ya Democrasia.
Ni kwa bahati mbaya hawa CCM hawajui kucheza na nyakati, make vyovyote vile Trump ni raisi ajaye na kutoa tamko kunaweza wasaidia sana serikali shida hawajiongezi.
Ila pia watoe security alert ya kuwataka Watanzania walioko Marekani kuchukua tahadahari kubwa sana nyakati hizi za kampeni.