Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,619 Reaction score 5,780 Feb 18, 2025 #41 mugomangara said: Sasa wakikata na hiyo misaada si ndo hao raia watakufa ndugu. Hakuna atakayewajali nchi hii Click to expand... Hakuna atakae kufa kwa kukosa dawa kwa sababu dawa zitakua za kununua sio kwamba zitapotea
mugomangara said: Sasa wakikata na hiyo misaada si ndo hao raia watakufa ndugu. Hakuna atakayewajali nchi hii Click to expand... Hakuna atakae kufa kwa kukosa dawa kwa sababu dawa zitakua za kununua sio kwamba zitapotea